Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mzee mbona umechemsha hapo kwa KP.. inaonekana ni inside out duh!
ReplyDeleteMisupu weka hiyo picha vizuri....imegeuzwa
ReplyDeleteKaka Misupu
ReplyDeleteMbona Mheshimiwa Lowassa haonekani siku hizi? Hakuonekana hata kwenye ujio wa Bush. Tungependa sana kama ungetuletea snap zake za siku hizi. Tunajua wewe ni mkali kwa hiyo utazipata hizo picha fasta fasta..
sasa twende kazini.
ReplyDeleteTuonyeshe mzee Pinda kama hukuchaguliwa kwa bahati mbaya ni kwa makusudi mazimaaaaaa
Eeeeeeeeeh Bwana eeeeeeeeeeeeeeh
ReplyDeleteUnaambiwa hapo ka SMILE maanake.Tabasamu la Pozi.Kapeta mwanangu uPM sio mchezo.Watu wanasota na Madigrii Chuo Kikuu lakini wanaishia kuwa Desk Officers au Registry Clerks!Kudadadadadadddddaaaadeki!
WEWE MASOUD OMBA MSAMAHA KWANZA USIJIFANYE KUMSIFIA ULIYEMKANDIA!
ReplyDeleteKATUNI ZAKO SASA TUNAZIANGALIA KWA KUZIHUSISHA NA TABIA YAKO!
mmmmh!kaka michuzi,masudi kaanzisha nenoooo,subiri comment za waosha vinywa!yangu macho..!
ReplyDeleteHahahahahaha, Kp u r soo talented.
ReplyDeleteWe anony wa 5:48 tafadhali ondoa chuli zako kwa KP na dada yako.Na kwanza si lazima mweke katuni zake katika blog ya dada yako.Mwacheni aendelee kuwa kioo cha jamii.Najua Michuzi ni mdau mkubwa wa dada yako lakini haiingii akilini kumkandia Masoud.Keep it up KP.Senyandumi
ReplyDeleteMTUELEZE KWA KINAGAUBAGA YALIYOIKUMBA JF.THIS TIME TUNAKULA SAHANI MOJA NA MAFISADI.NO TIME TO WASTE.NA JK KAMA HAWEZI AACHIE NCHI.ASITUCHEZEE AKILI ZETU.
ReplyDeleteKP, you are great, Great talent. Big up brother. Wanaokandia hawajui art na hawajui kusoma between the lines au pia ni MAFISADI wetu. ENDELEZAAA hakuna kusimama.
ReplyDeleteAnony wa 6:58 usilete pumba.
ReplyDeleteHaka ka bwana mdogo ka Masoud kalichapia kanahitaji kuomba msamaha lakini kabishi kama kakinga na shule yake ndogo.
Binafsi naburuduka sana na KATUNI ZA FEDE KATIKA(http://www.artsfede.blogspot.com/)
MAANA ZIMEENDA SHULE NA PIA YEYE HANA MAJIGAMBO!
AJIKWAYE ATASHUSHWA!
Michuzi, leo umebandika Reverse Bromide.
ReplyDeletetete he....tete he!!
ReplyDeletenimekukubali KP,nahodha kaingia kazini,wazamiaji tafuteni pa kutokea!
"Na hivi nimelamba dume sitaki kuipoteza hii nafasi".
ReplyDeletekwa sana kp.
TUNAOMBA PICHA YA KP AKIWA KAJICHORA MWENYEWE
ReplyDeleteTUMEKUJUA UNAYEANDIKA KUMKANDIA KP NI WEWE ULIYEACHWA, ULIYEKUWA 1ST LADY WAKE, UTALIJUA JIJI NA MATAA YAKE BABU, SALMA NDO KESHASHIKA NAFASI, ANAPETA MTOTO WA WATU, KALELEWA MALEZI BORA, ANAJUA KUMLEA MUMEWE, NA ALIVYO BOMBA NDO KABISA, ANAJUA KUJISHUGHULISHA, KWA HIYO WEE BWABWAJA TU NA USIKU ULALE..NA HAO WADOGO ZAKO NDO WANAOKUSAIDI KUANDIKA UPUUZI, RA..FA ACHA USHAMBA!!! DADAKO KESHAACHWA MAMA..UKOME!!!
ReplyDelete