

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni kweli kama alivyosema ni bahati ya Mtende.Viongozi wengine wenye pesa hata Kuliko Bush huleta misaada ya ajabu ajabu tu kama vile Tende za kula mwezi wa Ramadhani wakati watanzania tuna matatizo makubwa kuliko kuletewa tende! Huyu analeta PESA siyo tende.Hii ni bahati ya mtende.
ReplyDeleteAnon hapo juu swala sio pesa! Tanzania tuna pesa nyingi sana. Swala ni je hizo pesa zitamnufaisha nani? au zitaishia kwenye account za wajanja (kama ilivyo kawaida) baadala ya kununua madawa na kujengea shule....
ReplyDeleteBahati Bush kuja kwetu, mie sioni bahati yeyote. Kama fedha tunazo nyingi tu ambazo zinatafunwa huku kwenye migodi ya madini na kule BoT na kwingineko kwingi ambapo wanahabari hawajapafikia.
ReplyDeleteIngekuwa ni Shilingi yetu imepanda thamani, mie ningeona ni bahati kuliko Bush kuja na kumbonji hapa Tz.
Lakini Enewey, mwache aje tuone hiyo bahati anayotupigia nayo mkwala huyu afisa ubalozi.
amechoshwa na siasa anakuja kupumzika mwenzenu. mpokeeni lakini, si unajua sisi watanzania ni wakarimu.
ReplyDeletenasikia DELTA FORCE (crack commandos and elite bodyguard unit)wameshaingia tanzania,be very afraid hii mitu,ni afadhali ukutane na moto wa jahanam,so lethal that the govt of USA denies the existence of this unit,president musharaf of pakistan owes his continued existence in this world to this crack unit
ReplyDeleteNyie acheni upumbavu mbona mnakuwa mmelala hivyo hebu amkeni huyo jamaa anakuja hapo kuja kuangalia kama kuna uwezekano wa kusecure mikataba ya mafuta na other natural resources nyie mnaona bahati ya mtende kumbe bahati hiyo wanaifaidi wachache tuamke watanzania ohhh nyie ndo yaliwa hivyoooo!!!!!!!!
ReplyDeleteHIYO GESI ILIYO GUNDULIWA NA KUFANYWA (SIRI) NDIO JAMAA ATAZUIA AU
ReplyDeletemi sina zaidi la kusema zaidi ya analake jambo huyo,Misaada mingine yaweza hatarisha nchi jamaniiiii.kuna mithali inasema bure inauwa.
ReplyDeleteGesi, mafuta, madini, na ukichukulia china anavyokamata africa marekani inabidi itafute washkaji wa kumpelekea nishati kwake. Mie nakubalia na annony hapo tuangalie hizi safari za viongozi wengine jamani wa kutoka nchi za nje sio tu mgeni njoo mwenyeji apone.
ReplyDelete