Kaka Michu,

Natumai upo fresh, sasa mbona JK anataka wenzake wafe na shinikizo?
Badala ya kutangaza Cabinet leo yeye anasema kesho aah!!!

Hata sisi wachezea pembeni inakuwa tabu kuendelea kusubiria!!

Usitoe jina langu wala e-mail.
mdau.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. NASIKIA AMEAHIRISHA BAADA YA VYAMA VYA UPINZANI KUPINGA WANACHAMA WAO (WABUNGE) WALIOTEULIWA KUSHIKA NYADHIFA ZA UWAZIRI KWENYE SERIKALI YA CCM! (REDIO MBAO-DAR ES SALAAM).

    ReplyDelete
  2. Acha uoga asitoe jina kwanini? Demokrasia maana yake nini? Tunatakiwa tubadilike jamani, tutaendelea kufungia macho maovu mpaka lini? If you Scared of the heat dont be around the kitchen.
    DJ SUKARI.

    ReplyDelete
  3. Kuna haja ya kuwa na shinikizo. Wote walio kwenye cabinet wanajua sasa hivi. Kama hajawasiliana na wewe haumo.

    ReplyDelete
  4. Presuure ya nini kwani kupewa uwaziri ndio ikupande pressure au unaogopa kuwa jina lako halipo katika orodha na ulaji umekupitia pembeni mara hii tena?

    kwani jipya liko wapi they are just changing chairs overthere.
    So don't be so anxious

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...