NIMEFURAHI KUIONA PICHA HIYO YA PEDEJEE. NIMEONA WATU WAMETOA MAONI MBALIMBALI KUHUSU HIYO PICHA. NINAPENDA UWAJULISHE WASHABIKI WA BLOG YAKO KUWA HUYO JAMAA NI MFANYAKAZI WA TANESCO TEMEKE, ANAITWA GEORGE JOHN BUNYORO. ANA AKILI TIMAMU NA NI FUNDI UMEME MZURI SANA. ALISHAWAHI KUPEWA ZAWADI YA GARI NA WAJAPAN ALIOKUWA ANAFANYA NAO KAZI ZA MIRADI KUTOKANA NA UCHAPAJI WAKE KAZI VIZURI.
ANAPATIKANA TANESCO TEMEKE, PALE KURASINI AU MITAA YA KINONDONI KWA MANYANYA NDIPO ANAPOISHI. NI MIMI SHABIKI WA BLOG YAKO.


hii ni ile ya kunyea humo humo
ReplyDeleteHili gauni alilovaa na kiatu cha 'pilipili kichaa' pamoja na hilo li-mkanda la TANESCO vyote vinapatika kwenye duka la Da-Shamim Zeze, bei maelewano
ReplyDeleteMmmh!!! suruali kifuani shati la nn? ehehehe!!1 sasa huyu jamani..wajameni mweeh!! kwani ni MC?? na hiyo saspenda bora singevaa.
ReplyDeleteHivo viatu ahahahaha
M.W.T.M
uchizi sio lazima kuokota makopo! heheh
ReplyDeletewATU WANGINE WANATAKIWA WAKAPIMWE AKILI TU
ReplyDeleteMichu,huyo mshkaji siyo Kobero Kiguzo
ReplyDeleteMluguru wa Kinondoni Mkwajuni mtaa wa Mafere huyoooo??
Hebu muulize kwanza!!!!
Nimecheka ile mbaya na nimemwonyesha GF wangu wa kizungu amesifia kuwa ni new style na amerecomend kwa wala vumbi wote wanunue hicho kivazi maana kitawapendeza
ReplyDeletehuyo lazima atakuwa kadata
ReplyDeleteDuh...huyo jama wa sarakasi au nini...na haja ndogo vipi!na viatu hivyo kweli ligo manaake yakikugonga mazimbwi hata viagra hazitakufaa...be careful yakhe!!!una leseni ya kutembea kiholela mjomba???
ReplyDeleteNani kakuuliza kama vinapatikana huko? Toka hapa na matangazo yako.
ReplyDeleteWhat a clown.
ReplyDeleteHUYU AKITAKA KUTOA WALLET ANATOLEA MABEGANI ANAZUNGUSHA MKONO JUU YA BEGA HAHAHHA SI MCHEZO.
ReplyDeleteMichu,Yaaani nimecheka sina hamu.Huyo jamaa anachekesha sana na vazi lake hilo,ila kuna huyo Mtoa Maoni iliye sema eti:hiyo ni ya kunyea humo humo.... yaani wabongo sina hamu nao kabisaa!!
ReplyDeletehapo alipo kashajinyea huyo ndo maana anaenda haraka.
ReplyDeleteKaka michuzi hiyo inaitwa "man hand" haitaji polisi huyu kashajimanhand mwnyewe
ReplyDeleteMbeba mabox nini huyu?????
ReplyDeleteWewe anony unayejaradia mambo kibao ya huyo gf wako sasa umefanya mimi nimuvuzishe mwelekeo wangu kutoka katika hicho kiatu cha 'Kiboko ya Mwajuma' kuja kwako.
ReplyDeleteHIVI UNAFIKIRI KUWA HIYO NGOZI YA UZERUZERU YENYE UPUNGUFU WA MELANIN YA HUYO gf INA THAMANI KUBWA SANA KULIKO YAKO? HEBU TUONDOLE HAPA UCHAFUZI WA HALI YA HEWA WENYE HIYO INFERIORITY COMPLEX ULIYONAYO! HUNA AIBU!.
MFTYHUH(wakati umebinya kinywa)!
ETI gf mzungu! NANI KAKUULIZA? REKEBISHA HIYO SASA HIVI VINGINEVYO NINA WASIWASI UKO TAYARI KUFANYIWA VYOVYOTE HATA KINYUME NA MAUMBILE ILIMRADI NI mzungu MFTYHUH!! (wakati umebinya kinywa)
jamani mimeshangaa kumuona hapa huyo ni mume wangu na tuna watoto nae hivyo viatu an brouwn yake na nyeupe nimemkanya kuvaa hivyo nimechoka akitaka kutoa haja ndogo hadi achojoe nguo zote yaani na ana misifa usipime muone panki kama kibanda cha chips!!!! bora mumseme aache!!!!! lol
ReplyDeletehuyo mzushi anatakiwa akawe evalueted kwenye hospitali ya wangonjwa wa akili.
ReplyDeleteKaka hivi ndio viatu alivyokuwa anavaa ALADIN kwenye vile vitabu vyetu vileeee!
ReplyDeleteUnavikumbuka?
Girlfriend wa kizungu ,mtunze vizuri, ni sawa tu girlfriend asiye wa kizungu. Mtaoana siku ikifika? kila la kheri mzee. Waheshimiwa msiwe maracist. Racism is both ways.
ReplyDeletehii picha inatakiwa ifikishwe Hollywood kwa maproducer, huyujamaa ni msanii sio chizi. Kama angekuwa marekani tayari ni celebrity na milionea. Marekani kuna ushenzi wa kila aina na kila unachodhani ni ujinga kinampa mtu kula ya nguvu. Kila kitu ni Arts, hivyo kinachofanya huyu jamaa aonekane chizi machoni mwa jamii ni fikra finyu na upeo finyu wa kufikiri na kasumba ndani ya utamaduni. Tuwaze mbele na mbali na kuacha hizo tabia mara moja.
ReplyDeleteAnonyme wa Feb 14,2008 2:45PM
ReplyDeleteHebu chukua 5 za nguvu.Mie niko pamoja nawe huyo Bwana siyo chizi ila ni msanii mwenye ubunifu unaoendana na wakati.Wale wote wanaomwona huyo bwana kama hamnazo kwanza wajiulize ni sababu zipi zinazowafanya watu wavae nguo? siyo wanakurupuka na kuanza kumpaka matope kijana wa watu tena msanii.Kwa ueleo wangu mdogo kuna sababu kama nne 4 hivi za watu kuvaa nguo.
1-ni kujikinga na hali ya hewa kama vile Baridi
2-kusetiri maungo(aibu ya kuonekna viungo vya uzazi)kuficha uchi
3-Identity-Kujitambulisha wewe ni nani katika jamii uliyomo(hapa zinaingia uniform)kama jeshi,shule, hosptali,viongozi wa dini n.k.
4-Atraction-Mvuto au kupendeza.Hapa ndo tunaindia wengi wetu.Sasa huyu jamaa naye anaangukia katika kundi hili la 4 kuonyesha Mvuto wa kupendeza kutokana na mavazi(costume) yake.HUYU BWANA amependeza na ana-atract attention ya watu kwa hiyo kutokana na kipengele hiki cha nne huyu jamaa amefanikiwa kwa 100% kuonyesha mvuto.Na wengi wetu ndani ya hii GLOBU mmevutiwa na hilo vazi kwanini msimpe sifa zake?
MAKOFI NA VIGELEGELE KWA ANNONY February 14, 4:51:00 PM
ReplyDeleteHuyu ndiye mpiga filimbi wa Hamelin aliyeitwa kufukuza panya watoto wakamfata ndo ikawa mwisho wa wwo maana aliingia nao kaika mlima...ha ha ha hizo hadithi za zamani kama mnakumbuka enzi za zamani.
ReplyDeleteTHE BIGGER THE RESHO THE SMOLA THE SKEL
ReplyDeleteAisee huyu jamaa akiitwa kwenye grammy awards au any show marekani atakuwa celebrity right away. Anuani yake nani anayo nimtumie barua aje kwa mwaliko wangu. nataka huyu mchizi aingie Braodway hapo New York na ntamtafutia agent wa kumnadi, Michuzi nkuachia kazi tafuta contacts za huyu jamaa. Ana usanii, this is innovation!
ReplyDeleteWalaahi Michuzi umepinda BIG TIME...Cha kuwavunja watu mbavu kitu gani??
ReplyDeleteNimecheka sanaaaaaaaaaa
nimecheka sana sana kaka michu,imebidi niwatumie rafiki zangu maana huyu jamaa kaniacha,sasa hii ni new style au tusemeje?
ReplyDeleteWAJAMENI HUYU JAMAA NI MFANYAKAZI MWENZETU WA TANESCO TEMEKE, ANAITWA GEORGE JOHN BUNYORO. ANA AKILI TIMAMU NA NI FUNDI UMEME MZURI SANA.
ReplyDeleteALIWAHI KUPEWA ZAWADI YA GARI NA WAJAPAN ALIOKUWA ANAFANYA NAO KAZI ZA MIRADI KUTOKANA NA UCHAPAJI WAKE KAZI VIZURI.
MKITAKA KUMUONA KARIBUNI TANESCO TEMEKE, HUKU KURASINI AU MITAA YA KINONDONI KWA MANYANYA NDIPO ANAPOISHI.
Aoyaaa wabongo acheni kasumba, Angekuwa kavaa Pdidy au Michael Jackson mgesema ebana ee chek style mpya hiyo, lkn kavaa Mbongo mnamuita chizi, kadata.
ReplyDeleteDah!!huyu mbongo kweli? huyu lazima atakuwa anaasili ya kizaire japo kidogo, kama sio kwa bibi basi kwa babu au babu wa babu hahahahahah.
ReplyDelete