Hapa ni moja ya matukio ya kutafuta goli na wakiwa wanatoka uwanjani kwenda mapumzikoni katika moja ya mechi zao wakati wa msimu huo.
Mashindano hayo huwaunganisha vijana wengi wa Kiafrika ambapo wengi huonyesha ujuzi na umahili wao katika kulisakata kabumbumbu.
mdau Emmanuel Ngallah
he!,
ReplyDeleteSydney kupo kama Peramiho?
Peramiho ndio kupo kama Sydney?
Duh Hiyo sydney, Kama uwanja wa makurumla Magomeni au Biafra Kinondoni, acheni fix
ReplyDeleteWadau...kiangazi cha Australia si mchezo nyasi zote hukauka joto linafikia kwenye nyuzi 40 za Centigrade...Peramiho hali ya hewa yake poa sana...
ReplyDeletesydney kumbe mbaya hivyo. kiangazi gani hicho hata goli halina net. bora hata bongo kuna viwanja vya nguvu
ReplyDeleteDu kuna watu kwenye hii blog wamekaa kusakama wenzao siyo vizuri kama una cha kuandika si ukalale
ReplyDelete