Vijana wa Kitanzania wanaosakata kabumbu jijini Sydney Australia ambao timu yao ilifikia nusu fainali katika mashindano ya African Youth Soccer Championship December 2007.
Hapa ni moja ya matukio ya kutafuta goli na wakiwa wanatoka uwanjani kwenda mapumzikoni katika moja ya mechi zao wakati wa msimu huo.
Mashindano hayo huwaunganisha vijana wengi wa Kiafrika ambapo wengi huonyesha ujuzi na umahili wao katika kulisakata kabumbumbu.
mdau Emmanuel Ngallah

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. he!,
    Sydney kupo kama Peramiho?

    Peramiho ndio kupo kama Sydney?

    ReplyDelete
  2. Duh Hiyo sydney, Kama uwanja wa makurumla Magomeni au Biafra Kinondoni, acheni fix

    ReplyDelete
  3. Wadau...kiangazi cha Australia si mchezo nyasi zote hukauka joto linafikia kwenye nyuzi 40 za Centigrade...Peramiho hali ya hewa yake poa sana...

    ReplyDelete
  4. sydney kumbe mbaya hivyo. kiangazi gani hicho hata goli halina net. bora hata bongo kuna viwanja vya nguvu

    ReplyDelete
  5. Du kuna watu kwenye hii blog wamekaa kusakama wenzao siyo vizuri kama una cha kuandika si ukalale

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...