Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Siyo viongozi wapya tu! huenda hata huo uongozi watu wataukataa

    ReplyDelete
  2. Hata nawe Michuzi na Kipanya mtajiuzulu maana ......

    ReplyDelete
  3. Sio viongozi wa kisiasa tu! Hata wakurugenzi wa makampuni ya umma na binafsi nao pia watakwenda na maji!

    ReplyDelete
  4. Mimi naona hata waosha vinywa wote watakwenda na maji,maana wewe wacha tu

    ReplyDelete
  5. Ha ha ha, Kipanya umenichekesha sana, manake kama hilo jibaba nalielewa vile. Bongo haikubaliki hiyo,kwani sifa ya Bongo ili upate uongozi lazima uwe fuska,bila ufuska baba hujaukwaa uongozi,sasa nani ataipitisha hiyo sheria.

    ReplyDelete
  6. kp wewe mwishoooooo!!!
    i gotta hand it to you!

    ReplyDelete
  7. Nyumba ndogo tenaaa!!!aaah bwana thats the order of the day kwa bongo,ndo maana wanakufa kama viroboto!
    sirudi bongo ng'oo!!kama ngoma haijakuondoka basi malaria,kipindua pindua,TB,kuhara,majungu etc.
    mtu utapona kweliii?????

    ReplyDelete
  8. KP umenivunja mbavu!
    hahahahahh,mafisadi kwa nyumba ndogo ndo usiseme!kama naniii tunamwonaga kila siku mitaaa flani kwa small hausi...

    ReplyDelete
  9. Kazi ya fedha za EPA na Richmond, lazima watu wazitusue bwana, nyie vipi !!Si afadhali zizunge ndani kwa ndani kuliko kupelekwa nje.KP nakuvulia kofia

    ReplyDelete
  10. KP hili lijamaa mbona linafanana na BWM.......teh..teh..teh!!!!

    ReplyDelete
  11. Ni huyo jamaa kawa mwoga. Mbona Clinton alijilia Monica taratibu hawakumfanya chochote na sasa wanataka kumrudishia tena uraisi kupitia kwa mke wake. Viongozi endeleeni na libeneke kwa kuchukua chako mapema. Tafuna warembo kabla hawajakukamata ufisadi. Wewe kipanya hutaki dada zetu nao wafaidi pesa za ufusadi. Sheria hiyo haipo labda kwenye nchi za kislamu ambapo unaweza ukapigwa mawe kwa sharia. Namaliza.

    ReplyDelete
  12. KP umeogopa kulichora lile kofia lake la pama au ndio akiwa mzigoni analivua? au akiwa mahakamani ndio analivaa kuficha uso tu kumbe mambo yake yanajulikana?

    ReplyDelete
  13. Wewe anonymous March 17, 4:34:00
    huna akili kweli. Dada zako wakifaidi pesa za ufisadi ina maana na AIDS nayo itawafaidi. Ndio maana wabongo tunakufa kama inzi sababu hatufikilii

    ReplyDelete
  14. Duuh! KP, kama ulisoma mawazo na comments zangu baada ya Bwana Spitzer kufanya vituz vyake huku. Wabongo aamkeni na kuwatoa wote wenye hii tabia kuanzia...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...