Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Siyo viongozi wapya tu! huenda hata huo uongozi watu wataukataa
ReplyDeleteHata nawe Michuzi na Kipanya mtajiuzulu maana ......
ReplyDeleteSio viongozi wa kisiasa tu! Hata wakurugenzi wa makampuni ya umma na binafsi nao pia watakwenda na maji!
ReplyDeleteMimi naona hata waosha vinywa wote watakwenda na maji,maana wewe wacha tu
ReplyDeleteHa ha ha, Kipanya umenichekesha sana, manake kama hilo jibaba nalielewa vile. Bongo haikubaliki hiyo,kwani sifa ya Bongo ili upate uongozi lazima uwe fuska,bila ufuska baba hujaukwaa uongozi,sasa nani ataipitisha hiyo sheria.
ReplyDeletekp wewe mwishoooooo!!!
ReplyDeletei gotta hand it to you!
Nyumba ndogo tenaaa!!!aaah bwana thats the order of the day kwa bongo,ndo maana wanakufa kama viroboto!
ReplyDeletesirudi bongo ng'oo!!kama ngoma haijakuondoka basi malaria,kipindua pindua,TB,kuhara,majungu etc.
mtu utapona kweliii?????
KP umenivunja mbavu!
ReplyDeletehahahahahh,mafisadi kwa nyumba ndogo ndo usiseme!kama naniii tunamwonaga kila siku mitaaa flani kwa small hausi...
Kazi ya fedha za EPA na Richmond, lazima watu wazitusue bwana, nyie vipi !!Si afadhali zizunge ndani kwa ndani kuliko kupelekwa nje.KP nakuvulia kofia
ReplyDeleteKP hili lijamaa mbona linafanana na BWM.......teh..teh..teh!!!!
ReplyDeleteNi huyo jamaa kawa mwoga. Mbona Clinton alijilia Monica taratibu hawakumfanya chochote na sasa wanataka kumrudishia tena uraisi kupitia kwa mke wake. Viongozi endeleeni na libeneke kwa kuchukua chako mapema. Tafuna warembo kabla hawajakukamata ufisadi. Wewe kipanya hutaki dada zetu nao wafaidi pesa za ufusadi. Sheria hiyo haipo labda kwenye nchi za kislamu ambapo unaweza ukapigwa mawe kwa sharia. Namaliza.
ReplyDeleteKP umeogopa kulichora lile kofia lake la pama au ndio akiwa mzigoni analivua? au akiwa mahakamani ndio analivaa kuficha uso tu kumbe mambo yake yanajulikana?
ReplyDeleteWewe anonymous March 17, 4:34:00
ReplyDeletehuna akili kweli. Dada zako wakifaidi pesa za ufisadi ina maana na AIDS nayo itawafaidi. Ndio maana wabongo tunakufa kama inzi sababu hatufikilii
Duuh! KP, kama ulisoma mawazo na comments zangu baada ya Bwana Spitzer kufanya vituz vyake huku. Wabongo aamkeni na kuwatoa wote wenye hii tabia kuanzia...
ReplyDelete