Home
Unlabelled
konyagi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mkishamaliza kusafisha toilets mnaburudika na konyagi, kweli konyagi hutiliza mawazo! unajua Toz kuwa janitor inataka moyo, lakini kwa kuwa hamna anaykujua na home wanajua unafanya kazi ofisi kubwa haina noma. Huleeee!!!!!
ReplyDeleteDuuh nyie wazee wakali, haya ndio mambo, this is what i was talking about all the time. Yaani hapo mmesaidia kuongeza export ya bidhaa za tanzania hence mmechangia kivyenu kuukuza uchumi wa nchi yetu. At the same time nyinyi wenyewe mmnapeta kwa kujiajiri and make a living on your own way, kweli marekani si kubeba boksi tu wengine wanapeta kama kwao.
ReplyDeleteAma kweli mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Anony wa April 10. 7:38pm. Mh
ReplyDeleteNangana na Mdau wa 8:57 lakini huyo wa 7:38 sijui aliandika baada ya kutoka chooni yeye mwenyewe! Naomba asiwe mfano wa wa-TZ. Aibu
ReplyDeletemabitoz naona mnakula vitu vikubwa na blondes za nguvu hapo...naona vifua vikubwa tuu.una biashara hapo lakini au story tuu,kila la kheri wakuu!
ReplyDeleteHongera Mjasiriamali.
ReplyDeleteIngawa Post ya Pili umeweka mwenyewe!! Kwa tabia yenu watanzania hakuna mtu anaweza kumsifia mwenzie kwenye kitu cha maendeleo hata siku moja.
Big Up!!
WHOOOOOO...HOOOOO GREAT JOB EVERYONE THIS IS THE REAL DELA, FINALLY PEOPLE WILL GET TO KNOW "TANZANIA YETU".. JULIUS YOU ARE DOING GOOD, AND EDWIN YOU ARE DOING SO FANTASTIC I HAVE BEEN SEEING ALL YOUR "HEKA HEKA ZA HAPA NA PALE" "KIJANA SONGA MBELE HIVYO HIVYO USIJALI WASEMAYO WAMACHINGA" GREAT JOB BOYS KEEP IT ROLLING AND KEEP REPRESENTING !!!WHOOOO..HOOO.OO..OOO.. GREAT!!
ReplyDeleteDON'T GET ME WRONG. KATIKA WACHANGIAJI WA WA TUKIO LA PICHA HIZO, NADHANI MMOJA NDIYE MCHANGIAJI WA KWELI LAKINI WOTE MLIOSALIA NI WALE WANAOONEKANA KWENYE PICHA( MAANA NYINGINE WALIOTUMA PICHA KWA MICHUZI).
ReplyDeleteHIVI UKIMALIZA KUJICHANGIA NA KUSOMA MCHANGO WAKO KWENYE BLOG UNAJISI VIPI? NI SAWA NA KUNYA MAVI PEMBENI HALAFU KUJISILIBA MWILI MZIMA UNUKIE UTURI. HASARA KWELI NDUGU ZANGU!
oyaa anony wa kwanza kabisa: infwakti sikuizi wabongo wameji-upgrade..hawasafishi sana vyoo na matako ya wazee kama zamani ..ila wanapokea sana simu - customer service kwenye kampuni za simu na mabenki..sio mbaya if it pays the bills...ila ndo inaweza isikulipie nauli ya kwenda bongo ila Air Jordan mpya utavaa tu bila wasiwasi..wengine ndo wamenasa kabisa kwenye izo kazi mpaka wamesahau kilichowaleta..ila wajanja wanajua ni transition tu to something bigger and better..
ReplyDeleteasha baraka anatafta baunsa wa twanga pepeta pale mango garden pale kinondoni hajamuona huyu jamaa
ReplyDeleteasha baraka anatafta baunsa wa twanga pepeta pale mango garden pale kinondoni hajamuona huyu jamaa
ReplyDeletechonde chonde msiwape wazungu hao viroba feki au kony fake.......hakikisheni mnanunua original
ReplyDeleteHongera kutangaza TZ products. watu hamsini kama nyie TZ kama Dubai
The guy in the last pic, aliyo onyesha peace sign na mwenye sun glases on his shirt is real cute x
ReplyDeleteMdau baby girl aka lil mummy