Hello dear,

Here's the some pics from our last event!
KONYAGI AND MAKE ME A SUPERMODEL PARTY
AND MORE PICS in our facebook and myspace.


Julius Temu
Julius Import
11222 South LaCienega Blvd
STE 620Inglewood,
CA 90304USA
TEL:310-216-9579
FAX:310-216-9578
Mobile:310-717-8685

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. mkishamaliza kusafisha toilets mnaburudika na konyagi, kweli konyagi hutiliza mawazo! unajua Toz kuwa janitor inataka moyo, lakini kwa kuwa hamna anaykujua na home wanajua unafanya kazi ofisi kubwa haina noma. Huleeee!!!!!

    ReplyDelete
  2. Duuh nyie wazee wakali, haya ndio mambo, this is what i was talking about all the time. Yaani hapo mmesaidia kuongeza export ya bidhaa za tanzania hence mmechangia kivyenu kuukuza uchumi wa nchi yetu. At the same time nyinyi wenyewe mmnapeta kwa kujiajiri and make a living on your own way, kweli marekani si kubeba boksi tu wengine wanapeta kama kwao.

    ReplyDelete
  3. Ama kweli mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Anony wa April 10. 7:38pm. Mh

    ReplyDelete
  4. Nangana na Mdau wa 8:57 lakini huyo wa 7:38 sijui aliandika baada ya kutoka chooni yeye mwenyewe! Naomba asiwe mfano wa wa-TZ. Aibu

    ReplyDelete
  5. mabitoz naona mnakula vitu vikubwa na blondes za nguvu hapo...naona vifua vikubwa tuu.una biashara hapo lakini au story tuu,kila la kheri wakuu!

    ReplyDelete
  6. Hongera Mjasiriamali.
    Ingawa Post ya Pili umeweka mwenyewe!! Kwa tabia yenu watanzania hakuna mtu anaweza kumsifia mwenzie kwenye kitu cha maendeleo hata siku moja.
    Big Up!!

    ReplyDelete
  7. WHOOOOOO...HOOOOO GREAT JOB EVERYONE THIS IS THE REAL DELA, FINALLY PEOPLE WILL GET TO KNOW "TANZANIA YETU".. JULIUS YOU ARE DOING GOOD, AND EDWIN YOU ARE DOING SO FANTASTIC I HAVE BEEN SEEING ALL YOUR "HEKA HEKA ZA HAPA NA PALE" "KIJANA SONGA MBELE HIVYO HIVYO USIJALI WASEMAYO WAMACHINGA" GREAT JOB BOYS KEEP IT ROLLING AND KEEP REPRESENTING !!!WHOOOO..HOOO.OO..OOO.. GREAT!!

    ReplyDelete
  8. DON'T GET ME WRONG. KATIKA WACHANGIAJI WA WA TUKIO LA PICHA HIZO, NADHANI MMOJA NDIYE MCHANGIAJI WA KWELI LAKINI WOTE MLIOSALIA NI WALE WANAOONEKANA KWENYE PICHA( MAANA NYINGINE WALIOTUMA PICHA KWA MICHUZI).
    HIVI UKIMALIZA KUJICHANGIA NA KUSOMA MCHANGO WAKO KWENYE BLOG UNAJISI VIPI? NI SAWA NA KUNYA MAVI PEMBENI HALAFU KUJISILIBA MWILI MZIMA UNUKIE UTURI. HASARA KWELI NDUGU ZANGU!

    ReplyDelete
  9. oyaa anony wa kwanza kabisa: infwakti sikuizi wabongo wameji-upgrade..hawasafishi sana vyoo na matako ya wazee kama zamani ..ila wanapokea sana simu - customer service kwenye kampuni za simu na mabenki..sio mbaya if it pays the bills...ila ndo inaweza isikulipie nauli ya kwenda bongo ila Air Jordan mpya utavaa tu bila wasiwasi..wengine ndo wamenasa kabisa kwenye izo kazi mpaka wamesahau kilichowaleta..ila wajanja wanajua ni transition tu to something bigger and better..

    ReplyDelete
  10. asha baraka anatafta baunsa wa twanga pepeta pale mango garden pale kinondoni hajamuona huyu jamaa

    ReplyDelete
  11. asha baraka anatafta baunsa wa twanga pepeta pale mango garden pale kinondoni hajamuona huyu jamaa

    ReplyDelete
  12. chonde chonde msiwape wazungu hao viroba feki au kony fake.......hakikisheni mnanunua original

    Hongera kutangaza TZ products. watu hamsini kama nyie TZ kama Dubai

    ReplyDelete
  13. The guy in the last pic, aliyo onyesha peace sign na mwenye sun glases on his shirt is real cute x

    Mdau baby girl aka lil mummy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...