mgeni rasmi waziri wa nishati na madini mh. william ngeleja (mwenye tai juu kati) akipozi na waandaji na mamodo walioshiriki katika shoo ya mavazi na vito vya madini mbalimbali usiku huu kwenye hoteli ya movenpik, dar. shoo hiyo iliyofana sana iliandaliwa na chama cha wachimba madini wanawake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2008

    Huyo Balozi wa Palestina mwenye Batik ya blue. anatia aibu .. kila shughuli inayohusu mambo ya urembo yeye ndio anaivalia njuga .. hicho ndicho kilichomleta Bongo kutafuta mademu .. badala ya kukaaa na kupanga mikakati ya kuikoimboa Palestina huku watoto na wanawake wasiokuwa na hatia wanaouwawa yeye hana habari shauri yao !! kutwa kwenye nmafashion shows..akikodolea macho vimwana ..Tena inatia aibu Palestina ni nchi inayoendeshwa kwa sharia kali ya dini ya kiislam .Jamanmi mimi nashauri msimwalike huyo . kwenye mambo kama hayo hakuna anachofuata zaidi ya wanawake.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 04, 2008

    Hao wachimbaji au wachuuzi?

    Bado sijaona mademu miongoni mwa Wana-Apollo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 05, 2008

    ARAFATPLO umenena

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...