Home
Unlabelled
shoo ya wachimba madini kinamama yafana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyo Balozi wa Palestina mwenye Batik ya blue. anatia aibu .. kila shughuli inayohusu mambo ya urembo yeye ndio anaivalia njuga .. hicho ndicho kilichomleta Bongo kutafuta mademu .. badala ya kukaaa na kupanga mikakati ya kuikoimboa Palestina huku watoto na wanawake wasiokuwa na hatia wanaouwawa yeye hana habari shauri yao !! kutwa kwenye nmafashion shows..akikodolea macho vimwana ..Tena inatia aibu Palestina ni nchi inayoendeshwa kwa sharia kali ya dini ya kiislam .Jamanmi mimi nashauri msimwalike huyo . kwenye mambo kama hayo hakuna anachofuata zaidi ya wanawake.
ReplyDeleteHao wachimbaji au wachuuzi?
ReplyDeleteBado sijaona mademu miongoni mwa Wana-Apollo.
ARAFATPLO umenena
ReplyDelete