mzee temu akionesha aina ya kilaji cha konyagi ambacho ni maalumu kwa soko la marekani. hapa ni katika banda la kilaji hicho katika maonesho ya sullivan ambapo wageni kibao wamekuwa wakimiminika. banda kama hili pia lipo katika maonesho ya karibu trade show ambayo pia yanaanza mara tu baada ya mkutano hapa a-taun

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2008

    Namuona mzee hapa mzee Temu akionyesha urithi wetu watanzania. tehee!! teheee!! hivi hii slogan bado inatumika?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2008

    your simply the best my friend....am proud of you my dia and am happy for the achievements you have attained so far...no matter wat happens just know you have my full moral support....Goodluck and all the best for the KONYAGI USA....

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2008

    Konyagi Tanzania imekubalika nchini Marekani!Big Up Mze Temu!Wa Kwetu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2008

    HIVYO NDIYO TUNATAKA KUONA KILA LAHERI KONYAGIUSA TUNAWASUBIRI KONYAGIUK DEOOOOOOOOOOOO UPO WAPI.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 05, 2008

    Sio siri. Wamarekani wanaizimikiakonyagi kupita maelezo. sijui kwa nini.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 06, 2008

    Huyu ndiye baba yake Amani Temu wa DC ?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 06, 2008

    Mmeshaonja GIN zingine kama New Amsterdam au Bombay Dry Gin au Gordon's. Bado sana!
    Konyagi karibu kwenye
    ushindani!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 06, 2008

    SASA WABONGO WENGINE WANA WIVU. HAWAJUI USHINDANI NI MUHIMU KWA BIASHARA. WEWE UMEZOEA SHIRIKA MOJA LA SIMU,UMEME NA UNGA.. NDIO MAANA HAMNA HUDUMA BONGO.
    USHINDANI NI MUHIMU, ACHA KUKAA CHINI NA KULIA MACHOZI YA WIVU.
    HIYO SULLIVAN SUMMIT NA HAO MAREKANI WOTE HUKO... UNAJUA KONYAGI BIZAA YA TANZANIA PEKE YAKE NDIO INAUZWA MAREKANI???????????

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 06, 2008

    ACHA USHAMBA NA WIVU WEWE.. KAMA BOMBAY AU NEW AMSTERDAM WENGESEMA UNAVYOSEMA WEWE WASINGE ANZA.. WATANZANIA KAMA WEWE MMEUWA BIASHARA BONGO.
    ACHA KUPANDA MCHICHA TAKE A RISK BISHOO.. SHOW WHAT U GOT

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 06, 2008

    Kwa kweli sasa nimekubali...... Speed ni nzuri sana. Inaonyesa ni jinsi gani tunaweza..... Hongera sana KONYAGI. Kitu kingine ni "ufungaji" yaani hiyo chupa ya duara imemaa ki-uuzaji sana kuliko zile BAPA..., hapo pia nawapa HONGERA SANA.....Kumbe inawezekana hata kwenye vitu vingine. Nina rafiki zangu wanazizimia sana......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...