mzee temu akionesha aina ya kilaji cha konyagi ambacho ni maalumu kwa soko la marekani. hapa ni katika banda la kilaji hicho katika maonesho ya sullivan ambapo wageni kibao wamekuwa wakimiminika. banda kama hili pia lipo katika maonesho ya karibu trade show ambayo pia yanaanza mara tu baada ya mkutano hapa a-taun
mzee temu akionesha aina ya kilaji cha konyagi ambacho ni maalumu kwa soko la marekani. hapa ni katika banda la kilaji hicho katika maonesho ya sullivan ambapo wageni kibao wamekuwa wakimiminika. banda kama hili pia lipo katika maonesho ya karibu trade show ambayo pia yanaanza mara tu baada ya mkutano hapa a-taun

Namuona mzee hapa mzee Temu akionyesha urithi wetu watanzania. tehee!! teheee!! hivi hii slogan bado inatumika?
ReplyDeleteyour simply the best my friend....am proud of you my dia and am happy for the achievements you have attained so far...no matter wat happens just know you have my full moral support....Goodluck and all the best for the KONYAGI USA....
ReplyDeleteKonyagi Tanzania imekubalika nchini Marekani!Big Up Mze Temu!Wa Kwetu.
ReplyDeleteHIVYO NDIYO TUNATAKA KUONA KILA LAHERI KONYAGIUSA TUNAWASUBIRI KONYAGIUK DEOOOOOOOOOOOO UPO WAPI.
ReplyDeleteSio siri. Wamarekani wanaizimikiakonyagi kupita maelezo. sijui kwa nini.
ReplyDeleteHuyu ndiye baba yake Amani Temu wa DC ?
ReplyDeleteMmeshaonja GIN zingine kama New Amsterdam au Bombay Dry Gin au Gordon's. Bado sana!
ReplyDeleteKonyagi karibu kwenye
ushindani!
SASA WABONGO WENGINE WANA WIVU. HAWAJUI USHINDANI NI MUHIMU KWA BIASHARA. WEWE UMEZOEA SHIRIKA MOJA LA SIMU,UMEME NA UNGA.. NDIO MAANA HAMNA HUDUMA BONGO.
ReplyDeleteUSHINDANI NI MUHIMU, ACHA KUKAA CHINI NA KULIA MACHOZI YA WIVU.
HIYO SULLIVAN SUMMIT NA HAO MAREKANI WOTE HUKO... UNAJUA KONYAGI BIZAA YA TANZANIA PEKE YAKE NDIO INAUZWA MAREKANI???????????
ACHA USHAMBA NA WIVU WEWE.. KAMA BOMBAY AU NEW AMSTERDAM WENGESEMA UNAVYOSEMA WEWE WASINGE ANZA.. WATANZANIA KAMA WEWE MMEUWA BIASHARA BONGO.
ReplyDeleteACHA KUPANDA MCHICHA TAKE A RISK BISHOO.. SHOW WHAT U GOT
Kwa kweli sasa nimekubali...... Speed ni nzuri sana. Inaonyesa ni jinsi gani tunaweza..... Hongera sana KONYAGI. Kitu kingine ni "ufungaji" yaani hiyo chupa ya duara imemaa ki-uuzaji sana kuliko zile BAPA..., hapo pia nawapa HONGERA SANA.....Kumbe inawezekana hata kwenye vitu vingine. Nina rafiki zangu wanazizimia sana......
ReplyDelete