supa modo bi. kidude akipita jukwaani kuonesha vazi la khanga na kutia fora katika shoo ya mustafa hassanali ya khangadelicious usiku huu
flaviana matata, bi. kidude na miriam odemba

masupa modo miriam odemba, bi. kidude na flaviana matata katika shoo ya khangalicious usiku huu hoteli ya moevenpick, dar


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2008

    Hii kali!!
    Ukisikia 'eighteen-till-i-die' ndiyo hii.
    Hongera bi Kidude
    Maisha ni vile unavyojifikiria.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2008

    gimmicks and ridicule, it make puke on my dinner.

    mdau wa USA.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2008

    Mdau June 21, 2008 9:56 AM, Mtoa Maoni: Anonymous

    Just hold that thing tight...you will puke after looking at youself at some age if lucky to live long! no hate USA

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 21, 2008

    Flaviana jamani unazidi kupendeza!!Naomba usikome kuutumia kwa busara uzuri wako!!
    Bi Kidude shikilia uzi huohuo...!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 21, 2008

    Anonymous of 9.56am.
    What made you puke? the picture or your awful dinner?? whatever that was, i'ma give you a quick advice-think before you say somethin and dont discriminate...

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 21, 2008

    you puker, watch out, are u gonna live to reach her age?.. and if u do i do agree with the anon 11:26 am and anon 1:17pm.. benchotte kabisa wewe.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 21, 2008

    Miriam, looking preety as usual..
    hongera dada..

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 21, 2008

    Sio kila Mtu ni Rihanna.... Miriam hiyo style ya nywele haijakupendeza...tafuta nyingine..

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 21, 2008

    Khanga ni vazi sio kitambaa. Ukitumia khanga kishonea nguo aina nyingine yoyote inacah kuwa khanga na kuwa hiyo ain aya nguo. kwa mfano ukishonea khanga suruali au shati na kisha ukavaa si sahihi kusema umevaa kanga.

    Khanga ni wakati umejifunga au umejitanda. wabunifu wasituharibie ukweli kwa interest zao.

    tulitarajia tuone watu walivyofunga khanga na si magauni tena.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 21, 2008

    Anno June 21, 2008 9:56 AM,
    You puke because your stomach is wrong not because of the show

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 22, 2008

    You Puker! ar puking because of our African GrandMother??? watch out, dont ever set you ugly face again in our Bongo...again...Nyambaff!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 23, 2008

    huyu sarungi anafanya nini, toto flaviana mbona anabakia gumzo tuu, mambo ya kuozea bongo ni noma. Huyu mtoto mpelekeni nje bwana, mnaona kabsaaa ni kifaaa, kazi kupigwa picha zisizoeleweka.

    Amekwisha pata sifa ktk taifa letu, sasa ni kimataifa kwenda mbele. Mtoeni bongooooo, bongo njaaa tu kwa supa modo huyu!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 23, 2008

    jamani mwacheni Odemba, enzi zake alikuwa full supa modo, kuingia kwenye top 5/10 ya face of africa si mchezo.

    Mercy Galabawa na Emily Adolf, totoz wengine full vifaa, sijui wamepotelea wapi!

    Mbala

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 23, 2008

    Bi Kidude is a Living Legend in her own right!Hapo alipofikia angestahili kabisa kupewa nishani na tuzo ya Uprofesa katika Fani yake!Ni kwamba tu sisi wenyewe bado Mazumbukuku Mzungu wa Reli hatujui Thamani ya Maisha na Jinsi Binadamu anavyo paswa kuwajibika katika maisha na jinsi gani mchango wake utakavyo paswa kuthaminiwa na jamii.God Bless Bi Kidude,Mwenyezi Mungu akuzidishie Maisha marefu zaidi yaliyo jaa heri na afya tele! Wangapi waliobahatika kuufikia umri wako na kuwa jasiri kiasi chako,Bi Kidude? Sawasawa na kuutafuta mmea jangwani! Flaviana na Miriam hongereni sana kwa kulitambua hilo na kuamua kupiga picha ya ukumbusho na huyo Nyakanga Wenu(wetu)!Ahsanteni Sana.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 23, 2008

    what the hell is puke?????u people do u think everyone here is mzungu??msiokote-okote vijisentensi vya chooni,,,alaaaaa,,,watu wametoka fresh afu mwaleta usuper-star apa??afu wee anoni wa ngapi sijui khanga haiitwi khanga eti sababu wafunga,,,ata ikishonwa yaitwa vazi/nguo ya khanga

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 24, 2008

    we puker, utakua unatatizo la kisaikolojia. kufikiria hauwezi kujizuia ila mpaka unaandika kabisa........... eti it make me puke on my dinner, kingereza chenyewe cha kuunga, umeenda kununua ma kuku yaliooza huko, ma junk food ya USA baada ya kupata vijisenti tena baada ya kufanya kazi ya kuosha vyoo. Unatapika alafu unasingizia picha, we bibi yako huku bongo yukoje. Shame on you for your statement diner unaijua wewe

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 24, 2008

    we puker, utakua unatatizo la kisaikolojia. kufikiria hauwezi kujizuia ila mpaka unaandika kabisa........... eti it make me puke on my dinner, kingereza chenyewe cha kuunga, umeenda kununua ma kuku yaliooza huko, ma junk food ya USA baada ya kupata vijisenti tena baada ya kufanya kazi ya kuosha vyoo. Unatapika alafu unasingizia picha, we bibi yako huku bongo yukoje. Shame on you for your statement diner unaijua wewe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...