mambo yameshaiva na tayari warembo takriban 10 wako tayari kugombea taji la miss morocco, kitongoji kinachosifika kwa walimbwende wilaya ya kinondoni. mambo yatakuwa pale new msasani club nyuma ya ubalozi wa marekani kuanzia saa mbili usiku ambapo fm academia wana wa ngwasuma wanaotamba na kibao cha 'si kila mwanamke aendaye baa ni malaya' watakuwepo kusindikiza usiku huo unaosimamiwa na mama wa mitindo aisa idarous

Ninachojiuliza kwa nini Miss Morocco ifanyike kwenye ukumbi uliopo Msasani,ina maana Morocco na ki'ndoni nzima hawana viwanja mpaka waje msasani?
ReplyDeleteSasa jamani kuna uhusiano gani kati ya mashindano ya miss Morocco na picha ya Ciara?
ReplyDeleteAu na yeye atakuwepo?
Mnaboa!
MICHUZI KAKA INA MAANA HUKO TANZANIA HAKUNA KINGINE KIPYA ZAIDI YA UMISS?YAANI KILA KUKICHA MISS MISS MISS!!MIE NAONA WATU WAFUNGUKE MACHO NA KUFANYA KITU KINGINE ZAIDI YA HUO UMISS
ReplyDeleteMheshimiwa DC, nani kakuruhusu kuitumia globu yetu kudhamini mambo ya urembo?
ReplyDeletehebu jieleze!....
haya ni matumizi mabaya ya ofisi na mali ya Umma