mambo yameshaiva na tayari warembo takriban 10 wako tayari kugombea taji la miss morocco, kitongoji kinachosifika kwa walimbwende wilaya ya kinondoni. mambo yatakuwa pale new msasani club nyuma ya ubalozi wa marekani kuanzia saa mbili usiku ambapo fm academia wana wa ngwasuma wanaotamba na kibao cha 'si kila mwanamke aendaye baa ni malaya' watakuwepo kusindikiza usiku huo unaosimamiwa na mama wa mitindo aisa idarous

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2008

    Ninachojiuliza kwa nini Miss Morocco ifanyike kwenye ukumbi uliopo Msasani,ina maana Morocco na ki'ndoni nzima hawana viwanja mpaka waje msasani?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2008

    Sasa jamani kuna uhusiano gani kati ya mashindano ya miss Morocco na picha ya Ciara?
    Au na yeye atakuwepo?
    Mnaboa!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 20, 2008

    MICHUZI KAKA INA MAANA HUKO TANZANIA HAKUNA KINGINE KIPYA ZAIDI YA UMISS?YAANI KILA KUKICHA MISS MISS MISS!!MIE NAONA WATU WAFUNGUKE MACHO NA KUFANYA KITU KINGINE ZAIDI YA HUO UMISS

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 20, 2008

    Mheshimiwa DC, nani kakuruhusu kuitumia globu yetu kudhamini mambo ya urembo?
    hebu jieleze!....

    haya ni matumizi mabaya ya ofisi na mali ya Umma

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...