bi gemma enolengila (shoto) wa oretiti cultural discovery akipozi na ndito wa kimasai ambaye ameshamaliza kidatu cha sita katika shule maalumu ya watoto wa wachungaji wa kimasai wa kituo cha emusoi kilomita chache toka a-taun. wakati bi gemma ni mmoja wa watasha wachache wanaoishi na wamasai kwa miaka kadhaa kiasi cha kuweza kuongea lugha yao kwa ufasaha, huyu ndito ni mmoja wa wasichana wa kimasai waliofaidika na mpango wa kusomesha watoto wa wachungaji wa kimasai. hivi sasa anasaka mfadhili wa kugharamia elimu yake ya chuo kikuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2008

    Anasaka wafadhili????!!!!

    Maanake hakufaulu vya kutosha kujiunga kwa utaratibu wa kawaida au anataka ufadhili wa kusoma nje ya nchi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2008

    Yero, ang'alia ile-namesa-mwensake isikutibullie flow ya shule, hamkawii nyie :)

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2008

    unasaka wafadhili makubwa na huyo hapo ndito pembeni yako simfadhili tosha.
    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2008

    Beautifull Flowers,the creation of God!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 05, 2008

    wafadhili kwenye mkutano wa mablack america.....Mbona amechemsha?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 06, 2008

    yaaaaaaaaaaaaaaaaani kigoli au mwali wakimasai si ndio maana ya NDITO au?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...