Bonanza hili litafanyika leaders club Julai 5, 2008 ambapo warembo walioshiriki miss Tanzania kuanzia mwaka 1994 hadi sasa.

Warembo hao wataosha magari ya watu mbalimbali kwa ajili ya kutunisha mfuko wa sickle cell foundation Tanzania.

Zoezi hili litadhaminiwa na Tigo, Le Grande Casino, Clouds 88.4 FM, Fleet & Fuel Technologies, Redds PremiumCold

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. Eti nauliza hivi kuna sisi kina yakhe huku tusiokuwa na usafiri wa miguu minne je watatusafishia vibajaji, pikipiki na baiskeli? Na je kama nimekuja na daladala wataweza angalu kunifuta vumbi kwa miguu yangu???

    Haaa haaa haaa!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 27, 2008

    PIKIPIKI wataosha? Me sina gari

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 27, 2008

    huwa wanatakiwa wavae vichupi na visidiria tu,kwani wakati wa summer ndiyo hayo mambo huwa yanatokea,na kwa kuwa bongo ni summer kila siku basi hizo suruwali za dengrizi ziwekwe sandukuni

    Mbega

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 27, 2008

    hapo namuona jaki ntuyabaliwe hao wengine kina nani?tupeni basi majina

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 27, 2008

    we Mbega kwani umeambiwa wataosha na vichupi? Sio unabwatabwata tu!! Au unadanganywa na music video za hiphop unafikiri kila demu anayeosha gari anaosha ndani ya bikini? Hii ni fundraiser ya maana na hata mwaka jana ilifanyika. Sio tunakuwa negative katika kila kitu watanzania wenzangu jamani. Isiwekwe post hapa lazima watu watafute cha kusema.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 27, 2008

    Misosi pekee itanivutia nije niwashangilie!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 27, 2008

    Yaani hakuna njia zingine za kuopoa hao mabinti ila kujitambulisha kwa gari tu?, manake inaonyesha huyo aliotoa idea hiyo anatafuta sababu za kumuopoa binti fulani hapo, mamiss wa kibongo wanababaika sana na wenye magari ya kifahari.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 27, 2008

    wewe unaedhani kuwa waosha magari kwa vichupi wapo tu kwenye music video inabidi ufanye matembezi kidogo,lakini nahisi sio kosa lako ni la wazazi kwani walizaa kapuku ambae hawezi hata kuwashawishi watu ubalozini wakampa visa,kwa taarifa yako sasa ni kwamba mademu wanaosha magari wakiwa ndani ya vichupi wewe huku.sasa ikiwa kuosha magari ndani ya vichupi unaona balaa sasa ukipelekwa kwenye vilabu vya wacheza uchi si utatusababishia matatizo wewe, afadhali uishie huko huko kwani inaonyesha utawasumbuwa watu kwa michango ya kukutoa jela wewe little kapuku

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 27, 2008

    we anony wa 8:51 PM (I am assuming ni Mbega) we ndio mbumbumbu wa kutupwa. Kwanza hujui niko nchi gani na nina uraia wa wapi pimbi we. Kwanza Visa ndio umeona dili? Una mawazo ya kizamani kweli. Unajua watu tumesafiri mara ngapi na kwenda katika nchi gani?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 27, 2008

    hayo mambo ya urahia na kuwa uko wapi yanakuhusu wewe na roho yako,unaweza ukawa raia wa sudan na ukawa unaishi manyoni singida, wewe ulichoshauriwa hapa ni kutembea uangaze macho. kama kawa hayawani huwa hajifichi kaka na ukiona mtu anajisifia mwenyewe ujue hamna kitu.angalia tu usije kuishiwa kwa kutaka kushinda na watu kwani tunamashaka kuwa uko kwenye internet cafe

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 27, 2008

    Nyie gombaneni, tuacheni wanaume tuje kuoshewa magari, tuchukue mizigo tukamege, that's all in Bongo!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 27, 2008

    sio suala la kujisifia; nakuambia ukweli. Maana we ndio umeanza upuuzi wa kuongelea visa!!

    At the end of the day, kubali kuwa comment yako ya mwanzo ya kuongelea vichupi ni pumba na upuuzi mtupu. Watu wenye mawazo negative kama nyie ndio mnarudisha Bongo nyuma. Picha hiyo from fundraiser ya mwaka jana inaonyesha wamevaa jeans na T-Shirt, sasa suala la vichupi limetokea wapi.

    By the way... cafe inafunguliwa mpaka saa 6 usiku Bongo?

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 28, 2008

    hiv kwa nin wadau wa bongo na ughaibun uwa awapatan kabisa,
    sababu ni kubadilisha utamadun au nin,wadau nisaidien nimechoka kuona wadau wa bongo na ughaibun wakijibizana kila siku

    ReplyDelete
  14. Mbega na wewe anon wa 8:51 tunajua sana kwamba majuu wanaosha magari na vichupi ninaelewa na nilishuhudia mara nyingi hilo likifanyika najua kwa jina langu utahisi sijafika kwa taarifa yako nimekaa Jafferson City miaka 6( sibebi box
    ) lakini mambo ya huku huwezi kupeleka Bongo hata siku moja eti warembo wa Bongo waoshe na vichupi heshima kwa wazazi wao itakuwa wapi? Ndo nyie mlipata VISA kwa bahati mbaya, kama una uchungu sana na comment yangu twanga huku umalize hasira zako +447944863379 im now a Londoner na huku pia sibebi box kama wewe.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 28, 2008

    Hivi nyie mnaotukanana mna AGE gani? mbona imekuwa shule ya vidudu? naona tumesahau kuelimishana kwa kidiplomasia na heshima inekuwa kuvutana mashati nakuonyeshana ujanja wa visa na kadhalika zake IN 2008, INGAWA NYOTE MNA POINT, MGEPEANA NAFASI YA KUFAFANULIANA POINTI ZENU WALA TUSINGEFIKIA HUKU , ANYWAY LONG LIVE MKUU WA TEGETA. MZEE MICHUZI ULIYABUNI HAYA KABLA? YUKO WAPI MR CHIBI?,,,RAHA HIZI

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 28, 2008

    Hata wasipovaa vichupi hawa wanajulikana moja wababaikaji mbili kuna wenye magari wanawinda tatu wanaliwa sana nne mzunguko wenu hapo mjini ndio utakaowamaliza nne endeleeni na ideas za ajabu alafu u will c bongo end

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 28, 2008

    Aisee sitaki kuingilia ugomvi ila we Mbega umechemsha, yaani kupata Visa ndio umeona dili? Alaa.. we umekuja Ulaya juzi nini? Ndio nyie mnaleta sifa mbaya humu na kufanya wote tuitwe wabeba mabox. Sasa alichokuambia mwenzio kinahusiana nini na Visa?

    Na we na Visa yako kivyako, hakuna anayetaka kujua. Wangapi tupo nao huku wana visa lakini hakuna kitu kichwani

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 28, 2008

    hiv ni lin wabeba mabox na wafisadiwa a.k.a wataabikaj watakuja patana,naona mijadala ya visa tu,mh kasheshe nawaachia wadau watoe maon.
    mi nilitegea wadau wa ughaibun na bongo watapeana mbinu za kujikwamua nasi madoido na kujisifu

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 28, 2008

    SASA KWANINI WAOSHE MAGARI YA WATU?HAKUNA KITU KINGINE CHA MAANA WANACHOWEZA KUKIFANYA KTK KUTUNISHA HUO MFUKO?WA BONGO TUTAENDELEA LINI?

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 28, 2008

    Mimi siwashangai hawa jamaa wanaochambana humu ndani kwani najua ni stress tu ndio zinawasumbua.
    Jambo ambalo nalijua nikwamba hawa jamaa nilisoma nao shule moja na wote walikuwa chakula(vidume watoaji) na mpaka sasa hawajapata vidume huko waliko kwani wanahofu kusema gays. so nawaomba waweke wazi kwamba wao bado wanatoa watu wawashughulikie badala ya kuja hapa na kelele, wanawaonea wivu hao wasichana.. wangependa wawe wao..

    G7
    UK

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 28, 2008

    Braza Michu naomba namba ya simu ya huyo dada aliyepanda juu ya dari la gari.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 28, 2008

    anony wa june 27 08 11,43 kumbuka na kubeba mipira,usije ukaanza kuhara ukawapa tabu ndugu zako

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 28, 2008

    wqe mvuvi mpumbavu kweli. Sasa swali gani hilo; eti kwanini waoshe magari. Haya wangeamua kupiga viatu polish ungeuliza pia, kwanini wapige polish hakuna kingine cha kufanya? Kwani tatizo la kuosha magari ni nini? Na we ungetaka wafanye nini?

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 28, 2008

    wee G7 hivi unajua sifa kubwa ya watu ambao si riziki? wanapenda sana kujifanya kuwa wao ni malijali na wababe, sasa tunaona kama una sound kama wao.
    na wewe unaesema ulikaa jefferson city,jeff ni kijijini hakuna tofauti kubwa sana na kilwa masoko, na tuna uhakika INS walikukimbiza wewe.
    wadau wa bongo na ugaibuni sio kuwa hawaelewani tatizo liko kwa hao wa bongo kwani kuna ambao wanaota ndoto za mchana wewe uko bongo ishi kibongo bongo na hiyo tabia ya kutaka kuiga kila kitu utakuja kuiga visivyo igwa, by the way poleni na maumivu

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 30, 2008

    SHIKAMOONI,SIJAFIKA MAJUU LAKINI NASIKIASIKIA KUWA LIFESTYLE SIO ZOTE TUNAZOONA KWENYE MASHOOTING, KWELIIIIIIIIIII?????????

    +255773997887

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 30, 2008

    wewe unaeamkia watu haya mambo hayakuhusu wewe kwani tunauhakika una mambo mengi ya shule ambayo hujayamaliza,hilo swali lako uliloliuliza ingekuwa busara kama ungekwenda kumuuliza mwalimu wako wa upe

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 30, 2008

    Mimi mbona niko majuu lakini sibebi mabox??? Nina kazi yangu nzuri tuu na mjumba wangu wa maana na usafiri ulioenda shule. Kuja mamtoni sio lazima ubebe mabox. Ukiingia shuleni na umalize shule na grades za maana, u will never carry mabox. People back home are haters. Chuki na ufisadi ndio mnavyojua. msione mtoto wa matomya kafanikiwa, vidomo juujuu..loh. Ndio maana bongo hakuna maendeleo na wala haturudi ng'o. Bakini mpigwe na jua hadi mkome.

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 30, 2008

    wewe mdau wa kazi nzuri jumba kubwa na usafiri wa maana najua unajaribu kuwaambia wabongo ukweli,haina hata haja ya kupoteza muda wako kwa wabongo,unadhani kwani hawajui hayo,wanajua basi tu si unajua zile za sizitaki mbichi hizi.mtego uko ubalozini sasa ili kujifariji na kutaka kupunguza makali ya maumivi wana bakia kupiga mayowe kuwa watu wanabeba box. kama mnajua kuwa watu wanabeba box mbona wakitua bongo hamchelewi kujifanya mnawajua kwa sana ili msusiwe pamba,raba,na kunyeshwa bia ya kijani ya mdachi. taratibu jamani si mnasikia huku kuwa leseni za kuowana watu wa jinsi moja zinatolewa, mtakuja kuelewa bure muwafadhaishe wazazi wenu

    Mbega hapa

    ReplyDelete
  29. AnonymousJuly 01, 2008

    we Mtatifikolo, ni mpumbavu sana.
    We unaringia kuwa mkimbizi huko nchi zawatu....hata uwe na uraia wa Iraq hatujali. unaonekana unababaika na vitu vya watu huko anagalia ........Pimbi wee!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...