Bonanza hili litafanyika leaders club Julai 5, 2008 ambapo warembo walioshiriki miss Tanzania kuanzia mwaka 1994 hadi sasa.
Warembo hao wataosha magari ya watu mbalimbali kwa ajili ya kutunisha mfuko wa sickle cell foundation Tanzania.
Warembo hao wataosha magari ya watu mbalimbali kwa ajili ya kutunisha mfuko wa sickle cell foundation Tanzania.
Zoezi hili litadhaminiwa na Tigo, Le Grande Casino, Clouds 88.4 FM, Fleet & Fuel Technologies, Redds PremiumCold
Eti nauliza hivi kuna sisi kina yakhe huku tusiokuwa na usafiri wa miguu minne je watatusafishia vibajaji, pikipiki na baiskeli? Na je kama nimekuja na daladala wataweza angalu kunifuta vumbi kwa miguu yangu???
ReplyDeleteHaaa haaa haaa!!!
PIKIPIKI wataosha? Me sina gari
ReplyDeletehuwa wanatakiwa wavae vichupi na visidiria tu,kwani wakati wa summer ndiyo hayo mambo huwa yanatokea,na kwa kuwa bongo ni summer kila siku basi hizo suruwali za dengrizi ziwekwe sandukuni
ReplyDeleteMbega
hapo namuona jaki ntuyabaliwe hao wengine kina nani?tupeni basi majina
ReplyDeletewe Mbega kwani umeambiwa wataosha na vichupi? Sio unabwatabwata tu!! Au unadanganywa na music video za hiphop unafikiri kila demu anayeosha gari anaosha ndani ya bikini? Hii ni fundraiser ya maana na hata mwaka jana ilifanyika. Sio tunakuwa negative katika kila kitu watanzania wenzangu jamani. Isiwekwe post hapa lazima watu watafute cha kusema.
ReplyDeleteMisosi pekee itanivutia nije niwashangilie!!!
ReplyDeleteYaani hakuna njia zingine za kuopoa hao mabinti ila kujitambulisha kwa gari tu?, manake inaonyesha huyo aliotoa idea hiyo anatafuta sababu za kumuopoa binti fulani hapo, mamiss wa kibongo wanababaika sana na wenye magari ya kifahari.
ReplyDeletewewe unaedhani kuwa waosha magari kwa vichupi wapo tu kwenye music video inabidi ufanye matembezi kidogo,lakini nahisi sio kosa lako ni la wazazi kwani walizaa kapuku ambae hawezi hata kuwashawishi watu ubalozini wakampa visa,kwa taarifa yako sasa ni kwamba mademu wanaosha magari wakiwa ndani ya vichupi wewe huku.sasa ikiwa kuosha magari ndani ya vichupi unaona balaa sasa ukipelekwa kwenye vilabu vya wacheza uchi si utatusababishia matatizo wewe, afadhali uishie huko huko kwani inaonyesha utawasumbuwa watu kwa michango ya kukutoa jela wewe little kapuku
ReplyDeletewe anony wa 8:51 PM (I am assuming ni Mbega) we ndio mbumbumbu wa kutupwa. Kwanza hujui niko nchi gani na nina uraia wa wapi pimbi we. Kwanza Visa ndio umeona dili? Una mawazo ya kizamani kweli. Unajua watu tumesafiri mara ngapi na kwenda katika nchi gani?
ReplyDeletehayo mambo ya urahia na kuwa uko wapi yanakuhusu wewe na roho yako,unaweza ukawa raia wa sudan na ukawa unaishi manyoni singida, wewe ulichoshauriwa hapa ni kutembea uangaze macho. kama kawa hayawani huwa hajifichi kaka na ukiona mtu anajisifia mwenyewe ujue hamna kitu.angalia tu usije kuishiwa kwa kutaka kushinda na watu kwani tunamashaka kuwa uko kwenye internet cafe
ReplyDeleteNyie gombaneni, tuacheni wanaume tuje kuoshewa magari, tuchukue mizigo tukamege, that's all in Bongo!!
ReplyDeletesio suala la kujisifia; nakuambia ukweli. Maana we ndio umeanza upuuzi wa kuongelea visa!!
ReplyDeleteAt the end of the day, kubali kuwa comment yako ya mwanzo ya kuongelea vichupi ni pumba na upuuzi mtupu. Watu wenye mawazo negative kama nyie ndio mnarudisha Bongo nyuma. Picha hiyo from fundraiser ya mwaka jana inaonyesha wamevaa jeans na T-Shirt, sasa suala la vichupi limetokea wapi.
By the way... cafe inafunguliwa mpaka saa 6 usiku Bongo?
hiv kwa nin wadau wa bongo na ughaibun uwa awapatan kabisa,
ReplyDeletesababu ni kubadilisha utamadun au nin,wadau nisaidien nimechoka kuona wadau wa bongo na ughaibun wakijibizana kila siku
Mbega na wewe anon wa 8:51 tunajua sana kwamba majuu wanaosha magari na vichupi ninaelewa na nilishuhudia mara nyingi hilo likifanyika najua kwa jina langu utahisi sijafika kwa taarifa yako nimekaa Jafferson City miaka 6( sibebi box
ReplyDelete) lakini mambo ya huku huwezi kupeleka Bongo hata siku moja eti warembo wa Bongo waoshe na vichupi heshima kwa wazazi wao itakuwa wapi? Ndo nyie mlipata VISA kwa bahati mbaya, kama una uchungu sana na comment yangu twanga huku umalize hasira zako +447944863379 im now a Londoner na huku pia sibebi box kama wewe.
Hivi nyie mnaotukanana mna AGE gani? mbona imekuwa shule ya vidudu? naona tumesahau kuelimishana kwa kidiplomasia na heshima inekuwa kuvutana mashati nakuonyeshana ujanja wa visa na kadhalika zake IN 2008, INGAWA NYOTE MNA POINT, MGEPEANA NAFASI YA KUFAFANULIANA POINTI ZENU WALA TUSINGEFIKIA HUKU , ANYWAY LONG LIVE MKUU WA TEGETA. MZEE MICHUZI ULIYABUNI HAYA KABLA? YUKO WAPI MR CHIBI?,,,RAHA HIZI
ReplyDeleteHata wasipovaa vichupi hawa wanajulikana moja wababaikaji mbili kuna wenye magari wanawinda tatu wanaliwa sana nne mzunguko wenu hapo mjini ndio utakaowamaliza nne endeleeni na ideas za ajabu alafu u will c bongo end
ReplyDeleteAisee sitaki kuingilia ugomvi ila we Mbega umechemsha, yaani kupata Visa ndio umeona dili? Alaa.. we umekuja Ulaya juzi nini? Ndio nyie mnaleta sifa mbaya humu na kufanya wote tuitwe wabeba mabox. Sasa alichokuambia mwenzio kinahusiana nini na Visa?
ReplyDeleteNa we na Visa yako kivyako, hakuna anayetaka kujua. Wangapi tupo nao huku wana visa lakini hakuna kitu kichwani
hiv ni lin wabeba mabox na wafisadiwa a.k.a wataabikaj watakuja patana,naona mijadala ya visa tu,mh kasheshe nawaachia wadau watoe maon.
ReplyDeletemi nilitegea wadau wa ughaibun na bongo watapeana mbinu za kujikwamua nasi madoido na kujisifu
SASA KWANINI WAOSHE MAGARI YA WATU?HAKUNA KITU KINGINE CHA MAANA WANACHOWEZA KUKIFANYA KTK KUTUNISHA HUO MFUKO?WA BONGO TUTAENDELEA LINI?
ReplyDeleteMimi siwashangai hawa jamaa wanaochambana humu ndani kwani najua ni stress tu ndio zinawasumbua.
ReplyDeleteJambo ambalo nalijua nikwamba hawa jamaa nilisoma nao shule moja na wote walikuwa chakula(vidume watoaji) na mpaka sasa hawajapata vidume huko waliko kwani wanahofu kusema gays. so nawaomba waweke wazi kwamba wao bado wanatoa watu wawashughulikie badala ya kuja hapa na kelele, wanawaonea wivu hao wasichana.. wangependa wawe wao..
G7
UK
Braza Michu naomba namba ya simu ya huyo dada aliyepanda juu ya dari la gari.
ReplyDeleteanony wa june 27 08 11,43 kumbuka na kubeba mipira,usije ukaanza kuhara ukawapa tabu ndugu zako
ReplyDeletewqe mvuvi mpumbavu kweli. Sasa swali gani hilo; eti kwanini waoshe magari. Haya wangeamua kupiga viatu polish ungeuliza pia, kwanini wapige polish hakuna kingine cha kufanya? Kwani tatizo la kuosha magari ni nini? Na we ungetaka wafanye nini?
ReplyDeletewee G7 hivi unajua sifa kubwa ya watu ambao si riziki? wanapenda sana kujifanya kuwa wao ni malijali na wababe, sasa tunaona kama una sound kama wao.
ReplyDeletena wewe unaesema ulikaa jefferson city,jeff ni kijijini hakuna tofauti kubwa sana na kilwa masoko, na tuna uhakika INS walikukimbiza wewe.
wadau wa bongo na ugaibuni sio kuwa hawaelewani tatizo liko kwa hao wa bongo kwani kuna ambao wanaota ndoto za mchana wewe uko bongo ishi kibongo bongo na hiyo tabia ya kutaka kuiga kila kitu utakuja kuiga visivyo igwa, by the way poleni na maumivu
SHIKAMOONI,SIJAFIKA MAJUU LAKINI NASIKIASIKIA KUWA LIFESTYLE SIO ZOTE TUNAZOONA KWENYE MASHOOTING, KWELIIIIIIIIIII?????????
ReplyDelete+255773997887
wewe unaeamkia watu haya mambo hayakuhusu wewe kwani tunauhakika una mambo mengi ya shule ambayo hujayamaliza,hilo swali lako uliloliuliza ingekuwa busara kama ungekwenda kumuuliza mwalimu wako wa upe
ReplyDeleteMimi mbona niko majuu lakini sibebi mabox??? Nina kazi yangu nzuri tuu na mjumba wangu wa maana na usafiri ulioenda shule. Kuja mamtoni sio lazima ubebe mabox. Ukiingia shuleni na umalize shule na grades za maana, u will never carry mabox. People back home are haters. Chuki na ufisadi ndio mnavyojua. msione mtoto wa matomya kafanikiwa, vidomo juujuu..loh. Ndio maana bongo hakuna maendeleo na wala haturudi ng'o. Bakini mpigwe na jua hadi mkome.
ReplyDeletewewe mdau wa kazi nzuri jumba kubwa na usafiri wa maana najua unajaribu kuwaambia wabongo ukweli,haina hata haja ya kupoteza muda wako kwa wabongo,unadhani kwani hawajui hayo,wanajua basi tu si unajua zile za sizitaki mbichi hizi.mtego uko ubalozini sasa ili kujifariji na kutaka kupunguza makali ya maumivi wana bakia kupiga mayowe kuwa watu wanabeba box. kama mnajua kuwa watu wanabeba box mbona wakitua bongo hamchelewi kujifanya mnawajua kwa sana ili msusiwe pamba,raba,na kunyeshwa bia ya kijani ya mdachi. taratibu jamani si mnasikia huku kuwa leseni za kuowana watu wa jinsi moja zinatolewa, mtakuja kuelewa bure muwafadhaishe wazazi wenu
ReplyDeleteMbega hapa
we Mtatifikolo, ni mpumbavu sana.
ReplyDeleteWe unaringia kuwa mkimbizi huko nchi zawatu....hata uwe na uraia wa Iraq hatujali. unaonekana unababaika na vitu vya watu huko anagalia ........Pimbi wee!!!!