daudi, bosi wa mnyororo wa migahawa ya break point huwa hana noma. weita akichelewa anatia timu mwenyewe. kwa wale ambao hawajapastukia mahali hapa ni ilipokuwa posta club usoni pa sehemu ya kuegesha magari ya billicanas
bosi wa break point akiwapa kampani wadau wa h-taun ambao wako bongo kuhudhuria semina enelezi ya namna ya kurejea homu katika break point ya mjini ambako ukichelewa mchana hupati kiti.
juu ni spesho menyu mpya ya break point ya mjini na chini ni 'makange' orijino



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2008

    Bongo kweli tambara bovu sio mchezo....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2008

    Fulanazzzzzzzz.....!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 22, 2008

    Ukirudi kajicheki lipid profile... You know what I mean...

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 22, 2008

    Michuzi, mbona kila siku unakula nje,vipi mai waifu wako huwa hapiki nini?au mbona huendi naye lunch?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 22, 2008

    waoooooo lazima niibuke hapo, hayo ndio mambo yangu! walahi nimemiss sana nyama za tanzania, yani si mchezo! sio nyama za uku ugaibuni kuku kama bata, hata ladha hakuna.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2008

    Ni kweli b point wako juu hasa kwenye mambo ya msosi,ila tatizo wahudumu hasa wa kule kijitonyama si waaminifu kabisa,wanaiba sana kwa kupandisha bei ya vyakula kwa wateja,na ukiwastukia wanajifanya kuchanganya mahesabu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 22, 2008

    Michuzi kwa kudoea misosi haujambo. inaonekana wewe ni bingwa wa kula. itabidi tuanzishe mashindano unawezabeba kombe. we kula mwanangu vyuku!
    Natombe
    Moshi

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 22, 2008

    Kwenye sahani moja nimeona kuna chura na nyoka.Tena wako hai wanahema.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 22, 2008

    Lakini Bro Michuzi sasa utani tuache kweli hivi hii fulana kwanini usibadilishe? usianze kututia aibu sasa mzee wa kijiji chetu.

    Mkerwa.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 22, 2008

    Presha,Kisukari, nk ndo mnatafuta hapo

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 22, 2008

    Wanaume wabongo wana sura nzuri ila tatizo wafupi, na wakishakula hovyo tena na kunenepa ndio kabisa hawatamanishi. Muangalie afya zenu basi hizo nyama bila mbogamboga sio balance diet plus bia ndio mnatafuta hivyo vitambi ujanani.
    Kwa afya yenu tu.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 22, 2008

    aisee chachandu pale,nimeshindwa..especially ukiwekea mishkaki..umenitamanisha michu

    ReplyDelete
  13. mdau wa July 22, 2008 9:34 AM umeongea kweli kabisa. Last year kuna siku nimeenda pale nikaagiza red snapper na ugali. Bili mhudumu ananiambia 2200 sijui. Good thing is my friend knew the price akamuambia muite manager, kusikia hivyo jamaa kajizungushazungusha, anarudi anadai katoka kidogo. Akaenda kujizungushazungusha tena, then anarudi anasema ohh, bei 1700, samahani nilikosea mi mgeni sijui, mara nilisahau.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 22, 2008

    Michuzi, itabidi tuchange tukununulie fulana maana hii ni too much. Au una zaidi ya moja ya design hiyo?

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 22, 2008

    Hicho sahani ya chini ni manini? mhhh naona kama leftover chicken wings na mchanganyiko wala siuelewi...Duhhhh....Hapo ukimaliza hata hujui ni calories ngapi umeadd na cholestrol kiasi gani hapo....

    Kaka yangu watch out your diet bado tunakuhitaji. kama unakula kila siku nje pass hayo machakula kula veggies kwa wingi na matunda ndugu yangu...Kwa mwendo huo utapay back ukiwamzee big time

    remeber what they say... You are what you eat

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 22, 2008

    Washikaji mkirudi itabidi mkacheck afya zenu hivyo vi vyakula health...mnajifanya wasomi mmetoka mamtoni kumbe bure kabisa msomi anakula kisomi si hivyo ambavyo mmmepozi.....make sure mnafanya check-ups.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 22, 2008

    misupo unakera na fulaaanaz naomba mateja wakupige roba ya mbao wachukue hiyo fula mimi nitakua happy sana

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 23, 2008

    aisee mnaniudhi baadhi ya mlio nje... sijui mmenda juzi. Kila kitu mnachoona humu mnataka mponde, n.k. Kama watu mliokomalia juu ya kula healthy, etc. Kwanza kama sikosei nje mnanunua the cheapest crap katika grocery stores. Canned/processed food; genetically engineered veges and meats just cause you are you can't afford to buy fresh. And your idea of eating out is buggers, fries, hot dogs and pizzas!!

    Mnajidai mnaponda hapa wakati hizo nyama zilizopo hapo ni freshly slaughtered and far much more healthy that refridgirated and prserved stuff you get.

    Kwanza sijui ndio mmejua leo idea ya kula "healthy" mlipoenda nje?

    Sikatai it's good to eat healthy and live a healthy lifestyle and we must develop such a culture in Tanzania. Ila twue na constructive means to deliver such a message to the people. Sio kila kitu mnapondaponda tu, inaboa kwakweli. besides, the most important thing to eating healthy is moderation; make sure you get the right serving of each food group; keep your sugar and cholesterol levels at the recommended level; exercise, etc. Umeona tu hapa kuku na nyama choma unaanza kuwaponda hawa watu. Unajuaje kama it's their only serving of meet kwa siku hiyo? Au for a few days. Even if you are on an all fruit-veges and fibre-rich grain diet; inakuwa haina maana kama bado utakula kupita kipimo. Even too much of apples is bad.

    So naomba please, mtutolee ushamba wenu na muache kupondaponda tu kila mkiona kitu toka Tanzania. Watu walioko Tanzania wana an even more healthy life-style and have far less to worry about kutokana na typa ya chakula wanachokula kuliko baadhi yenu mnaoponda na kupaka humu. Soc check yourself before you come acting all knowledgable hapa next time

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 23, 2008

    You guys mmefanana fanana...Michuzi ndugu zako nini hao? R u guys triplets?

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 23, 2008

    Anon wa July 23, 2008 12:13, yani wee umeenda shule, ni kweli hao watu wanaobeba mabox wanapend sana kuongea hovyo, wakati wanaandika na kuangalia hao kuku hapo usiku hawalali wanaota wakiwa bongo wanakula...anyway, ni katika kuongeaongea ili siku zipite watafute hela warudi kuwala.. wamekalia kula michakula iliyoganda kila siku, kuku wao wanakua kwa siku moja, asubuhi yai linapasuka kifaranga anatoka, jioni amekua kuku mkubwa na kuchinjwa..mtakufa nacho kijiba cha roho!! wenzenu tunakamua kwa kwenda mbele..to hell with your diets..fanya mwenyewe!!! nani kakuambia tunataka kuwa mamiss???Bugger!!!!!

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 23, 2008

    Michu umelipwa hili tangazo au ndio hiyo misosi ya bure kama madereva wa mabasi ya mikoani!! Chicken makange full time wapo au wakati wa lunch tu?

    Hao wabeba mabox wanaokandia bongo wana mtindio wa ubongo! Mdharau kwao.....Hongera mdau Anony kwa kuwapasha.Kuleni ma GM foods yenu huko mkija huku mna cancer!

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 23, 2008

    Ndugu yangu annon wa July 23, 2008 12:13 AM, kabla hujaweka ideas za kusagia watu wanaoishi nje ya Bongo ambao wanajitahidi kueneza habari njema kuhusu afya bora na ambao vile vile umewasagia kua wanakula trash, ningekuomba uangalie hii map (link: http://www.worldpolicy.org/projects/globalrights/econrights/maps-life.html)then ndio tuanze discussion.

    Michakula ya ajabu tunayokula hapa bongo ndio inachangia watu kuugua magonjwa yanayoshindwa kugundulika na kuishia kuwasingizia marehemu wamekufa kwa kiharusi.

    Kaka Michuzi ninakuomba kama utaona ni kitu cha maana uweke post mpya yenye kuonyesha data nilizozitoa kwenye hiyo link (copy na paste hiyo ramani kwenye post mpya). Nafikiri itaweka discussion nzuri ambapo watu wengi tutachangia kwanini sisi wabongo tumewekwa uvunguni (kwenye rangi nyekundu).

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 23, 2008

    anony 12:13 nakuonea huruma.

    unajikanyaga kanyaga mwenyewew hata hujui unalosema. Mlo mmoja kwa siku unakusaidia afya yako vipi? Hata kama ndio the main meal of the day Michuzi mara ngapi kwa siku tunamwona nakula hapo break point???????????

    Kuwaeleza watu ukweli ni kusaidia taifa. Yes tulivyoondoka bongo tulikua wengi hatujui kula kwa afya. Sasa kama tumejifunza kwanini tusifundishe na wengine. Kwani tumekuja kusoma huku ili tupate knowledge kwa manufaa yetu wenyewe au kwa manufaa ya taifa letu?

    Ndio maana life expectancy yetu ni 46 yr. Utahitaji jibu nalo?

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 23, 2008

    1. Anony wa July 23, 2008 5:15 PM, soma vizuri, sijasema kuwa inawezekana huo ndio mlo pekee wa siku. Nimesema inawezekana ndio serving pekee ya nyama kwa siku hiyo. Kwa maana (inawezekana) walisupplement the rest of the day kwa kula fruits and veges; freshly squized juice; fibre rich foods, etc.
    Pili reducing suala la life expectancy katika 3rd world country to merely diet choices is a bit too oversimplistic, don't you think? Lazima ukumbuke poverty is the main factor. Kwa mantiki hiyo kuna wengine wanaweza kufa for dietary reasons because they can't afford to eat any better, au because of working conditions, exposure to toxicants and unfavorable conditions (vijini wanapikia moshi; katika urban area wako exposed na polution za kila aina za viwanda, migodi katika small, semi-urban mining towns and settlements), tunajua malaria bado ni #1 killer duniani na ina-affect zaidi tropical countries ambazo mainly ni poor countries; Ukimwi unaongoza kwa maambukizo Africa na kutokana na umasikini na ukosefu wa AVR watu wanakufa mapema; etc. With all due respect, kurukia hapa na kusema watu wanakufa mapema kwa ajili ya dietary choices bila kuangalia umaskini wa nchi kiujumla is (pardon my french), rather retarded. Labda ungetoa profile ya life expectancy kwa kipato, umri, makazi, ajira, etc. na utuonyeshe kuwa it is indeed the people who can afford to each hayo manyama choma ndio wanaokufa mapema then tungekuamini.

    2. Anony wa July 23, 2008 4:42 PM, naomba unisome vizuri. Sijakandia kuchagua kula healthy. In fact, nimesifia watu wale na waishi a heathy lifestyle. Nilichoponda ni approach wanayotumia watu kutoa ujumbe. Kama ma-anony niliowataja juu ambao wanakuja kwa njia ya kuponda and using a rather pedantic and/or condescending tone and looking down on the people back home; na kuwafanya hawajui. Na nimefungua hiyo link yako inaonyesha tu life expectancy; jibu liko hapo juu. Huwezi kugeneralize kuwa life expectancy inatokana na msosi ni makosa makubwa. Source kubwa ni umasikni.
    Kwa taarifa yenu basi, since hapa tunazungumzia kula manyama choma ambayo un general yako associated (at least kwa nyumbani) na watu wenye kipato; ambao Afrika sio wengi, basi watachangia proportion ndogo ya early deaths.

    Na kwa kuongezea, huko nje sasa si summer (except ofcourse S. hemisphere countries kama S.A na Australia; New Zealand, etc). Basi mtanieleza what is the biggest excitement ya watu huko right now? Kama sio barbequing whenever they can. Maana wazungu (hawa wamarekani) huwaelezi mbele ya ribs; chicken wings; etc. Cha muhimu tu ni kula kwa moderation kama nilivyosema mwanzo
    FYI, Western countries bado ziko katika higher risk ya mtu kupata obesity and/or heart-related diseases. Soma takwimu hizi za WHO ya magonjwa ya moyo (http://www.who.int/cardiovascular_diseases/en/cvd_atlas_29_world_data_table.pdf) na linganisha figures. Na soma taarifa hii from the beeb (BBC) juu ya Obesity (http://news.bbc.co.uk/2/hi/health/1358887.stm)
    Haya si mmetaka mjadala, mjadala uendelee sasa.


    Ndugu zangu, kama mnataka kuelimisha umma wa watanzania juu ya kula vyema ni vizuri sana. Ila mtumie lugha ya kistaarabu na muache dharau; mtasikilizwa na somo litaeleweka. Mnaweza kuchangia fedha au ujuzi kwa NGO na Wizara watoe elimu na misaada ya kuimarisha lishe kwa wananchi. Kama huna uwezo wa kufanya hivyo, unaweza kudraft maada vizuri na ukamuomba Michuzi akaiweka hapa watu wakaijadili na wakajifunza. Ila mnapokuja kwa style ya mbwemwbe nakujifanya mnajua ndio hapo mnapowakwaza watu.

    PS: For what it's worth, I lived abroad for a number of years and now I am back home working. I do enjoy nyama choma and an occasional beer, but I also try to balance my diet well; watch my weight and I jogg, work out a lil' and play pick up sports on weekends. I do know what I am talking about.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 23, 2008

    Mkielezwa ukweli mnatoa macho.

    Hayo machakula sio health kabisa.

    Kila siku tunapoteza watu na magonjwa ya visukari na BP hapa. Kama magonjwa hayo yanaweza kupunguzwa kwanini tusifundishane.

    Ukimwi utumalize na magonjwa tunayoweza kuzuia pia tushindwe kuyacontrol tubakie kuomba misaada au mpaka wazungu waje kutufundisha hata jinsi ya kula chakula bora??????

    Hata mseme kuwa siye watu tunaoishi nje tunajifanya lakini ni kuwa watu hawataki kuelezwa ukweli. Ukweli unauma bwana.

    Sio kuwa namuharibia huyo mwenye kuuza biashara yake. Kwa vile hata huku kuna machinese buffee na junk foods kibao kila corner ila awareness ni muhimu na zipo kila mahali. Ni bora uelewe madhara ya vyakula fulani kama ukiamua kula ni juu yako lakini kuna wengine hawaelewi madhara ya vyakula hivyo.

    Kwetu hatujui chakula bora ni nini? Kwetu bongo kula mchicha wa kuchemsha bila mafuta au nazi unaonekana ni maskini sana wakati tungejua kuwa ni bora kuliko kula mafuta mazito kila siku.

    Bila kitambi bongo wewe si mtu. Ukikonda wewe masikini au unaambiwa una ukimwi....tusipoondoka hizi stigma za kijinga tutaisha wote before we know.

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 23, 2008

    Anony wa July 23, 2008 8:06 PM, naona huwelewi. Nimewajibu wenzako hapo juu we unarudi na same argument. The point is not what u say, it's how u say it that pisses people off. Chances r mlio nje mnaoongea hapa are students, and frankly, as a student abroad you can't eat all that healthy as u claim. Trust me, I been there.

    By the way, not to hate on the brothers from H-town up there. But linganisha wao na Misoup anayeishi Bongo kwetu, nani anaonekana ana shavu hinha?
    Oh one more thing, aliyesema anamuona Michuzi kila siku katika bar anakula vyakula hivi. Kwani kupose ktk picha na wadau ndio ina maana kwamba na ye alikuwa anakula? Moreover, uliyesema hivyo, unajua kwamba Michu is a black-belt martial artists and has a strict work-out regime?

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 24, 2008

    anony wa Tarehe July 23, 2008 12:13 AM is a smart person compared to hao wabeba mabox
    maana katoka constructive argument wabeba mabox hawakubali kushindwa.most of the vyakulaz in the western world have a lot of chemicals which are very dangerous.example sausages,bacon zikiwa processed lazima waweke chemicals ambazo zinaleta ile rangi ya wekundu wa nyama.the same goes to maziwa,na mboga za makopo.jamani ee to make the story short is kama upo europe au USA ukinunua chakula kama siyo fresh jaribu kuangalia kina chemicals kiasi gani and its very easy just check how many E's are there letter E.most of these chemicals zinaanzia na letter E.ukweli ni kwamba as long as you dont buy organic food ukiwa in the western world you have the risk of getting cancer period!
    kaaz kwenu

    ReplyDelete
  28. AnonymousJuly 24, 2008

    MIE NASIKIA "KICHEFUCHEFU" NA NA NSHA "TAPIKA"

    ReplyDelete
  29. AnonymousJuly 24, 2008

    jamani michuzi yaani hiyo fulanazzzz mi siitaki narudia tena siitaki nimeichoka huyo mke wako akwambii nitakutumia fulanazz nyingine mkuu wiki ijayo nenda ofs za dar express utakuta mzigo wako.
    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete
  30. AnonymousJuly 25, 2008

    Naona globu imevamiwa na jamaa aliyekuwa deported back home na sasa anaamua kujaza opinion zake akijibu kila mtu.

    Pole ndugu... Si twaendelea tesa ughaibuni...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...