pamoja na mambo mengine kibao warembo wa vodacom miss tz 2008 ambao leo usiku wanapanda jukwaani kugombea taji la balozi wa redds ukumbi wa nssf, wametembelea watoto yatima na kushinda nao katika kuwafariji na kuwapa matumaini kwamba jamii inawajali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2008

    Hapo nani ni nani? Warembo ndiyo kina nani na yatima ndio kina nani? Kwani yatima hawawezi pia kuwa warembo au warembo kuwa yatima?

    Nawakilisha~Mdau USA

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2008

    wewe mdau wa usa hakikisha unapouliza swali kama hili uwe umemaliza kuvuta bangi zako sio unauliza maswali huku unavuta bangi utaendelea kujiaribia wewe swala sio kujua yatima au warembo ninani wewe huoni picha hizo hapo acha bangi sio nzuri hata kidogo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 22, 2008

    Jamani lakini wadau hebu changieni mawazo kuhusu hili nisemalo ni kweli au uongo...Mimi hawa warembo wakiwa wanataka kuwania urembo, au mfano mtu akiwa anataka kuwania kitu flani mfano Bongo star search walipokuwa wanatafuta mshindi ndio unawaona wanawatembelea mayatima mbona wakishapata taji humuoni tena akiwa karibu na mayatima anaanza mambo yake kivyake...Me naona wanajipendekeza mwanzo tu kutafuta kura lakini hawana mapenzi ya kweli na hao yatima wenyewe. Sio vizuri wanatakiwa kama ni moyo wa upendo wauonyeshe hata wakiwa wahapata taji...Kwanini wakipata mafweza hata kuwatengea mayatima kidogo (kituo kimoja cha yatima) hakuna???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...