Home
Unlabelled
warembo na yatima
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo nani ni nani? Warembo ndiyo kina nani na yatima ndio kina nani? Kwani yatima hawawezi pia kuwa warembo au warembo kuwa yatima?
ReplyDeleteNawakilisha~Mdau USA
wewe mdau wa usa hakikisha unapouliza swali kama hili uwe umemaliza kuvuta bangi zako sio unauliza maswali huku unavuta bangi utaendelea kujiaribia wewe swala sio kujua yatima au warembo ninani wewe huoni picha hizo hapo acha bangi sio nzuri hata kidogo
ReplyDeleteJamani lakini wadau hebu changieni mawazo kuhusu hili nisemalo ni kweli au uongo...Mimi hawa warembo wakiwa wanataka kuwania urembo, au mfano mtu akiwa anataka kuwania kitu flani mfano Bongo star search walipokuwa wanatafuta mshindi ndio unawaona wanawatembelea mayatima mbona wakishapata taji humuoni tena akiwa karibu na mayatima anaanza mambo yake kivyake...Me naona wanajipendekeza mwanzo tu kutafuta kura lakini hawana mapenzi ya kweli na hao yatima wenyewe. Sio vizuri wanatakiwa kama ni moyo wa upendo wauonyeshe hata wakiwa wahapata taji...Kwanini wakipata mafweza hata kuwatengea mayatima kidogo (kituo kimoja cha yatima) hakuna???
ReplyDelete