Mlezi na kocha wa FC Bongo EZZA SCOLARI inasemekana anampango wakuhamia Sweden baada ya kipigo hicho cha aina yake.
Watanzania wa Finland wameonesha mpira wa hali ya juu na tumefurahia kiwango chao ni cha kimataifa,lakini Watanzania wa Stockholm wamethibitisha kuwa wao ni mabingwa na scandinavia.Pokeeni salaam zetu Watanzania wa Norge na Denmark tunawakaribisha.
Khalifa ZAM
Nordkapsgatan 15,1tr
164 36 Kista
SWEDEN
Tel.nr. +46 8 6320116
Mobil. + 46 737234412
www.kilimanjaroclub.com
Nordkapsgatan 15,1tr
164 36 Kista
SWEDEN
Tel.nr. +46 8 6320116
Mobil. + 46 737234412
www.kilimanjaroclub.com
Haa haaaa michu acha majungu!kufunga ni kufungwa tu hakuna tabu wala nn!!!!!!!4-3 haloooooooooo kwa raha zetu,na pilau tumewapa!
ReplyDeleteFC BONGO FC BONGO KUJITAPA KOTE HUKO KUMBE YALIKUWA MANENO MATUPUUUUU. NAONA VIJANA WA KILIMANJARO WAMEWAROWESHA KWA BAO NNE NA SASA MANENO YAMEWAISHA. NAWAPA PONGEZI KILIMANJARO MNATISHA SANA AU SUNGURA KAMPANDA TEMBO?
ReplyDeleteMDAU DENMARK
Zaack nakuona mchumba wa zamani unawakilisha na kakio. Hongereni.
ReplyDeleteNa Nyie Kilimanjaro FC Mtaishia Kujisifia Tu Hamna Lolote mmekalia Kualika Wenzenu Mkialikwa Nyie Wataenda Viongozi Tu Kwani Wacheza Wote Hamtoki Nje Ya Sweden.FC BONGO Meonyesha Uzalendo Tunawakaribisha Holland...Mdau VIMTO
ReplyDelete