Home
Unlabelled
kahabari ndiko hako...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona hujasema mwaka gani?
ReplyDeleteTuambie na mwaka ili tukuone kama ni KIJEBA au 'serengeti boizzzzz'
happy birthday kaka michuzi nakutakia afya njema uendelee kutu karangizia michuzi
ReplyDeleteDuuuuh simchezo hepi basideiiiii kabisaaaaa kabla salam azijajaaaaaa.
ReplyDeleteSasa keki inakatwa wapi tuambiane tuje wadau.
Bwana Michuzi HERI SIKUKUZA!!!
ReplyDeleteUfafanuzi kidogo: 'heri sikukuza' ni salamu inayomaanisha 'Happy Birthday'. Kama mnavyojua siku za huko nyuma waafrika na hususan wabongo hatukuwa na utamaduni wa kukumbushana ama kujikumbusha siku za kuzaliwa kwetu - wengine hatuna hata uhakika kama tulizonazo kwenye makaratasi ndio kweli siku zetu halisi za kuzaliwa. Kwa hiyo hata salamu ya Kiswahili kwa shughuli hiyo haikuwepo. Wimbi la utandawazi limetufungua macho kuwa hiyo ni shughuli muafaka na hivyo tuliowengi tunaishia kutohoa "Hapi besidei" ambayo kwa hakika inatia ukakasi kidogo kama sio ukakafu!!
HERI SIKUKUZA mkuu wa nanihiiiii!!!
Bwana Michuzi HERI SIKUKUZA!!!
ReplyDeleteUfafanuzi kidogo: 'heri sikukuza' ni salamu inayomaanisha 'Happy Birthday'. Kama mnavyojua siku za huko nyuma waafrika na hususan wabongo hatukuwa na utamaduni wa kukumbushana ama kujikumbusha siku za kuzaliwa kwetu - wengine hatuna hata uhakika kama tulizonazo kwenye makaratasi ndio kweli siku zetu halisi za kuzaliwa. Kwa hiyo hata salamu ya Kiswahili kwa shughuli hiyo haikuwepo. Wimbi la utandawazi limetufungua macho kuwa hiyo ni shughuli muafaka na hivyo tuliowengi tunaishia kutohoa "Hapi besidei" ambayo kwa hakika inatia ukakasi kidogo kama sio ukakafu!!
HERI SIKUKUZA mkuu wa nanihiiiii!!!
Happy B'Day kaka Michuzi, may the Lord Almighty bless you so you can live to be 120 yrs ili uweze kuendelea kutuletea uhondo siku hadi siku. Ningekuwa karibu ningekupa bonge la hug, ila pia hapo ulipo waweza kulipokea tu kupitia mtandao. Happy B'Day kaka Michuzi.
ReplyDeletehaya hongera brother michuzi!!!ndo miaka mingapi tena....!by mlalahoi
ReplyDeletehappy birthday to youuuuuuuux2. how old are you?
ReplyDeleteHAPPY BIRTHDAY.
ReplyDeleteMama M.
Tegeta
Happy Birthday bro wishing you many more to come. keep up the great job...
ReplyDeleteHappy birthday 2 u bro misupu. How old r u now!
ReplyDeleteMungu akutanguliye kwa kila ufanyalo na akuzidishie maisha marefu yenye fanaka!!
HONGERA MWENZANGU MAANA HATA MIMI SIJUI KAKA YAKO NDIO NA MIMI KESHO NAANGUSHA ZANGU 47 MAANA MIMI NILIZALIWA KATAREHE AKO LAKINI KABLAYA YA UHURU WA TANGANYIKA
ReplyDeleteHAPPY BIRTHDAY BRO!
ReplyDeleterolemodel
COME ON HOW OLD R U???NAOMBA JIBU.
ReplyDeleteCha chandu - UK
Saa yangu inanionyesha leo ni tarehe 28 august,2008..00:29
ReplyDeleteNakutakia hepi besidei braza "ME..CHOOSE.."
Afya njema endeleza libeneke.Mungu akuepushe wasije wakakutindikali mafisadi.
pamoja mzee wa fulanas
Mmmmmh!
ReplyDeleteTukiulizia umri hapa inaweza ikawa soo.Maana sie wengine tulianza msikia huyu jamaa tangu tunanyonya miaka ileeeeee!HAPPY BIRTHDAY BABU!
HAPPY BIRTHDAY TO YOU BRO MICHUZI,MAY GOD GIVE YOU 100 YEARS TO LIVE.
ReplyDeleteYOUR ARE GREAT, MY MAN,
KALEMBO, EDMUND. MONROVIA, LIBERIA
Heppy Birthday to yoooooouuuuuu!!!!
ReplyDeleteSie wadau wa Japan huku tunaiona siku masaa 6 kabla ya huko kwetu bongo, basi napenda nikwambie
ReplyDeleteHAPPY BIRTHDAY MITHUPU
LIBENEKE HADI UKIWA NA MIAKA 100!
Mdau
Mashariki ya mbaaali kabisa, linakotoka jua.
hepi bathdei tu yu Mishuzi. Mungu akujaalie umri mrefu uzidi kuliendeleza libeneke hili.
ReplyDeleteWadau FC BONGO.
Michuzi katafika miaka mingapi? au utamaduni mpya ambao unasema hakuna kusema umri wako ili usionekane kama ni kijana wa zamani?
ReplyDeleteendelea kula chumvi tu Mh.Misupu..hala hala na Safura!!!!haha happy Early B-Day.
ReplyDeleteHongera for your day and thank you for sharing with us. Una kipaji ambacho wabongo tunajivunia. Enjoy your day!
ReplyDeletekaka mbona 28 august tupu?mwaka gani?hehe najua unatimiza jiwe 61,hehe umekomaa kama kisigino cha wahazabe.
ReplyDeletemdau London.
happy birthday boy, may god let u blow hundrends candles, hongera sana, na mungu akuzidishie uzima wako na ufanye kazi kwa bidii
ReplyDeleteBro Michuzi Happy Birthday wishing you all the best,
ReplyDeleteOriginal Bitoz
USA
Sheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! Errooo!!! happybirthday Mishusi
ReplyDeleteHappy birthday mkuu wa nanihiiiiiiii.
ReplyDeleteSasa party itafanyika wapi? Mbona hatualikani? Unajua wewe ni mtu mkubwa sana hivyo sherehe kama hii yapaswa ifanyika na wadau wako wote tuhudhurie. Nakushauri usisahau ze fulanazzzzzz kwnye party. Pia utuwekee picha za sherehe kwenye blog tufaidi kwa macho kwani hujatualika.
Wish u the years you have x 100 = ??????.
all the best
Mday CBE
Happy Birthday Brother Michuzi
ReplyDeleteMay the Almighty God bless you with happiness, good health and prosperity in your days.
May you be blessed in your endeavoring.
Happy birthday Mkuu wa wilaya ya Tegeta.
Uncle michuzi
ReplyDeletemimi na familia yangu tunakutakia Hepi bethdei njema mungu akupe afya tele ili uendeleze libeneke bila kutusahau wadau wako watoto !! lkn usinisahau keki kiduchu!
ni mie dogo Jestus wa Kimara
HaPPY birthday michuzi
ReplyDeleteyou are such a hero......
Happy Birthday bro Michuzi. Tunashukuru umetuwekea wazi kale katarehe ka kuzaliwa Mkuu wa Wilaya ya hapo kando ya Jiji...
ReplyDeleteMay almighty God grant you life full
of LOVE AND HAPPINESS.
Salam toka - Istanbul
Happy Birthday Bro Michuzi !!
ReplyDeleteMay God Bless You and grant you many of your wishes!
Keep up the good work!
Mdau.
hepi besde mkuu wa Tegeta
ReplyDeleteHappy Birthday Bro. Michuzi...
ReplyDeleteBe blessed sana....
Ni sie wadau wa weruweru...
HAPPY BIRTHDAY MR MICHUZI!!!!!!!!!
ReplyDeleteCONGRATULATION FOR UPDATED US BIG UP TO YOU!!!!!!!!!!
happy birthday.... umezaliwa mwisho wa mwezi kwa hiyo mambo yako thupa..... basi tunaomba mwaliko
ReplyDeletemama ushauri
Hapi bestdai Misupu! Endeleza libeneke kwa miaka mara 100 yako sasa!Imekuja wakati mzuri baada ya Bwawa la Maini kuponea chupuchupu!
ReplyDeleteMwaka gani i mean how old are u now eennhh??
ReplyDeletesema usifiche tujue ukweli.
Happy Birthday Mr Michuzi.Naweza kukisia kwa karibu Umri wako Mr Michuzi.Ulikuwa umeanza kupiga picha kwenye Disco Toto YMCA na mimi kipindi hiko nilikuwa Primary School miaka ya 80's a kwa kukisia ulikuwa na miaka si chini ya 18 na si zaidi ya 21 kwahiyo nikichukua miaka yangu kipindi hicho mpaka leo hii Kaka Michuzi Umri wako ni kati ya miaka 50 mpaka 53.
ReplyDeleteMdau T (Londoner)
Happy birth day bro!!!
ReplyDelete"Kisoda"
Happy birthday 2 u
ReplyDeleteHappy birthday 2 u
Happy birthday dear MICHUZII....
Happy birthday 2 u
How old r u now?
How old r u now?
Happy birthday dear MICHUZII
HAPPY BIRTHDAY 2 U!!!!!
HIPP HIPP HURRAAA!!!!
happy birthday,mkuu...may god blees u and give u long health and sucsseful life...amin
ReplyDeleteHappy birthday mzee wa tegeta,
ReplyDeleteKumbe umekuwa mkubwa kwa one month mzee lazima nitakukuta tu.
G7
UK
HAPPY BASDEI TO YOU! KATUNYIMA UBUYU! HEPI BESDEI DEA MICHUZI!!!!! HEPI BESDEI TO YOU!!
ReplyDeleteMANY HAPPY RETURNS BRO!!
Nana czech
Happy Birthday Bwana Michuzi, japo hukutuambia ni miaka mingapi umetimiza.
ReplyDeleteKaka Michuzi ama kwa wadau wote wa Blog hii, nataka Kumpa taarifa ya nyaraka( Documents) muhumu za ndugu mmoja ambazo inaonesha alizipoteza na zikaokotwa na wasamaria wema (wafanyakazi wenzangu) na wakaziwakilisha kwangu. Naomba nielekezwe namna ya kutuma ujumbe wa kumjulisha huyo ndugu kupitia Blog hii. Tafadhali naomba msaada wadau wote mnielimishe.
Dotto.
who cares?
ReplyDeleteHappy birthday to you, may you see many more
ReplyDeleteHEPI BESDEI TU YU,HEPI BESDEI TU YU,HEPI BESDEI DIA MICHU HEPI BESDEI TU YU!
ReplyDeleteHAHAHAHAHAHAHAHAHAAAAAAAAAA HONGEA MGOSHI
Happy Birthday Michu!Mungu akupe afya njema na na mafanikio, akuwezeshe kumkumbuka zaidi siku zako zilizobaki. Amen
ReplyDeleteHappy B'day. Hope you have a great day and a wonderful year that follows
ReplyDeleteHappy Birthday Kaka michuzi!
ReplyDeleteHappy Birthday Bro! MNYARUGUSU
ReplyDeleteDon’t complain about growing old – many, many people do not have that privilege.
ReplyDeleteYasini Mfunda
KILA LA KHERI BRO MICHUZI, MUNGU UKUZIDISHIE MAISHA MARA DUFU IKIWEZEKANA UISHI TENA MIKA KAMA HIYO ULIYOKULA, NAKUMBUKA SIKU NYINGI SANA KATIKA MAGAZETI YA CHAMA NA SERIKALI WAKATI ULEEEEE, KILA ASUBUHI NYUMBANI WAKINUNUWA GAZETI KITU CHA KWANZA NILIKUWA NAKIMBILIA PICHA KUONA PICHA GANI LEO MICHUZI KATULETEA, NI MTU WA SIKU NYINGI SANA HUYU MTU NA MAHILI KWELI KWELI NA MTAFIFITI FIKA WA MASWALA HAYA YA PICHA, HIVI KARIBUNI NILISIKILIZA MAHOJIANO YAKE NA BAADHI YA BONGO CELEBRITIES NA WATU WA KAWAIDA KATIKA DAILY NEWS WEB VIDEO, WOW! MICHUZI ANA VOICE NZURI SANA, NAKUMBUKA SANA HUYU BWANA MIAKA YA 80'S HADI YA 90'S KILA MTU ALIKUWA ANAMJUWA MICHUZI WA DAILY NEWS, HE IS AWESOME AND GREAT, MWISHO TENA, HONGERA NA SIKU YAKO YA KUZALIWA - HAPPY BIRTH DAY.
ReplyDeleteWAKO,
MTANZANIA,
LANGSHOTT,
SAREL WAY,
HORLEY,
SURREY,
LONDON,
UNITED KINGDOM.
HAPPY BIRTHDAY HONEY!
ReplyDeleteHappy belated birthday kaka michuzi ila kama umri mkubwa sana utakuwa mamichuzi.
ReplyDeleteStay blessed endeleza libeneke kwa hasira zaidi
Happy birthday kaka michuzi nakuona na fulanaz
ReplyDelete