Thursday 28 August,
will be Muhidin Michuzi's birthday.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 58 mpaka sasa

  1. Mbona hujasema mwaka gani?
    Tuambie na mwaka ili tukuone kama ni KIJEBA au 'serengeti boizzzzz'

    ReplyDelete
  2. happy birthday kaka michuzi nakutakia afya njema uendelee kutu karangizia michuzi

    ReplyDelete
  3. Duuuuh simchezo hepi basideiiiii kabisaaaaa kabla salam azijajaaaaaa.
    Sasa keki inakatwa wapi tuambiane tuje wadau.

    ReplyDelete
  4. Bwana Michuzi HERI SIKUKUZA!!!
    Ufafanuzi kidogo: 'heri sikukuza' ni salamu inayomaanisha 'Happy Birthday'. Kama mnavyojua siku za huko nyuma waafrika na hususan wabongo hatukuwa na utamaduni wa kukumbushana ama kujikumbusha siku za kuzaliwa kwetu - wengine hatuna hata uhakika kama tulizonazo kwenye makaratasi ndio kweli siku zetu halisi za kuzaliwa. Kwa hiyo hata salamu ya Kiswahili kwa shughuli hiyo haikuwepo. Wimbi la utandawazi limetufungua macho kuwa hiyo ni shughuli muafaka na hivyo tuliowengi tunaishia kutohoa "Hapi besidei" ambayo kwa hakika inatia ukakasi kidogo kama sio ukakafu!!

    HERI SIKUKUZA mkuu wa nanihiiiii!!!

    ReplyDelete
  5. Bwana Michuzi HERI SIKUKUZA!!!
    Ufafanuzi kidogo: 'heri sikukuza' ni salamu inayomaanisha 'Happy Birthday'. Kama mnavyojua siku za huko nyuma waafrika na hususan wabongo hatukuwa na utamaduni wa kukumbushana ama kujikumbusha siku za kuzaliwa kwetu - wengine hatuna hata uhakika kama tulizonazo kwenye makaratasi ndio kweli siku zetu halisi za kuzaliwa. Kwa hiyo hata salamu ya Kiswahili kwa shughuli hiyo haikuwepo. Wimbi la utandawazi limetufungua macho kuwa hiyo ni shughuli muafaka na hivyo tuliowengi tunaishia kutohoa "Hapi besidei" ambayo kwa hakika inatia ukakasi kidogo kama sio ukakafu!!

    HERI SIKUKUZA mkuu wa nanihiiiii!!!

    ReplyDelete
  6. Happy B'Day kaka Michuzi, may the Lord Almighty bless you so you can live to be 120 yrs ili uweze kuendelea kutuletea uhondo siku hadi siku. Ningekuwa karibu ningekupa bonge la hug, ila pia hapo ulipo waweza kulipokea tu kupitia mtandao. Happy B'Day kaka Michuzi.

    ReplyDelete
  7. haya hongera brother michuzi!!!ndo miaka mingapi tena....!by mlalahoi

    ReplyDelete
  8. happy birthday to youuuuuuuux2. how old are you?

    ReplyDelete
  9. HAPPY BIRTHDAY.

    Mama M.
    Tegeta

    ReplyDelete
  10. Happy Birthday bro wishing you many more to come. keep up the great job...

    ReplyDelete
  11. Happy birthday 2 u bro misupu. How old r u now!

    Mungu akutanguliye kwa kila ufanyalo na akuzidishie maisha marefu yenye fanaka!!

    ReplyDelete
  12. HONGERA MWENZANGU MAANA HATA MIMI SIJUI KAKA YAKO NDIO NA MIMI KESHO NAANGUSHA ZANGU 47 MAANA MIMI NILIZALIWA KATAREHE AKO LAKINI KABLAYA YA UHURU WA TANGANYIKA

    ReplyDelete
  13. HAPPY BIRTHDAY BRO!
    rolemodel

    ReplyDelete
  14. COME ON HOW OLD R U???NAOMBA JIBU.
    Cha chandu - UK

    ReplyDelete
  15. Saa yangu inanionyesha leo ni tarehe 28 august,2008..00:29

    Nakutakia hepi besidei braza "ME..CHOOSE.."

    Afya njema endeleza libeneke.Mungu akuepushe wasije wakakutindikali mafisadi.

    pamoja mzee wa fulanas

    ReplyDelete
  16. Mmmmmh!
    Tukiulizia umri hapa inaweza ikawa soo.Maana sie wengine tulianza msikia huyu jamaa tangu tunanyonya miaka ileeeeee!HAPPY BIRTHDAY BABU!

    ReplyDelete
  17. HAPPY BIRTHDAY TO YOU BRO MICHUZI,MAY GOD GIVE YOU 100 YEARS TO LIVE.
    YOUR ARE GREAT, MY MAN,
    KALEMBO, EDMUND. MONROVIA, LIBERIA

    ReplyDelete
  18. Heppy Birthday to yoooooouuuuuu!!!!

    ReplyDelete
  19. Sie wadau wa Japan huku tunaiona siku masaa 6 kabla ya huko kwetu bongo, basi napenda nikwambie
    HAPPY BIRTHDAY MITHUPU
    LIBENEKE HADI UKIWA NA MIAKA 100!
    Mdau
    Mashariki ya mbaaali kabisa, linakotoka jua.

    ReplyDelete
  20. hepi bathdei tu yu Mishuzi. Mungu akujaalie umri mrefu uzidi kuliendeleza libeneke hili.



    Wadau FC BONGO.

    ReplyDelete
  21. Michuzi katafika miaka mingapi? au utamaduni mpya ambao unasema hakuna kusema umri wako ili usionekane kama ni kijana wa zamani?

    ReplyDelete
  22. endelea kula chumvi tu Mh.Misupu..hala hala na Safura!!!!haha happy Early B-Day.

    ReplyDelete
  23. Hongera for your day and thank you for sharing with us. Una kipaji ambacho wabongo tunajivunia. Enjoy your day!

    ReplyDelete
  24. kaka mbona 28 august tupu?mwaka gani?hehe najua unatimiza jiwe 61,hehe umekomaa kama kisigino cha wahazabe.
    mdau London.

    ReplyDelete
  25. happy birthday boy, may god let u blow hundrends candles, hongera sana, na mungu akuzidishie uzima wako na ufanye kazi kwa bidii

    ReplyDelete
  26. Bro Michuzi Happy Birthday wishing you all the best,

    Original Bitoz
    USA

    ReplyDelete
  27. Sheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! Errooo!!! happybirthday Mishusi

    ReplyDelete
  28. Happy birthday mkuu wa nanihiiiiiiii.
    Sasa party itafanyika wapi? Mbona hatualikani? Unajua wewe ni mtu mkubwa sana hivyo sherehe kama hii yapaswa ifanyika na wadau wako wote tuhudhurie. Nakushauri usisahau ze fulanazzzzzz kwnye party. Pia utuwekee picha za sherehe kwenye blog tufaidi kwa macho kwani hujatualika.
    Wish u the years you have x 100 = ??????.
    all the best

    Mday CBE

    ReplyDelete
  29. Happy Birthday Brother Michuzi

    May the Almighty God bless you with happiness, good health and prosperity in your days.

    May you be blessed in your endeavoring.

    Happy birthday Mkuu wa wilaya ya Tegeta.

    ReplyDelete
  30. Uncle michuzi
    mimi na familia yangu tunakutakia Hepi bethdei njema mungu akupe afya tele ili uendeleze libeneke bila kutusahau wadau wako watoto !! lkn usinisahau keki kiduchu!
    ni mie dogo Jestus wa Kimara

    ReplyDelete
  31. HaPPY birthday michuzi
    you are such a hero......

    ReplyDelete
  32. Happy Birthday bro Michuzi. Tunashukuru umetuwekea wazi kale katarehe ka kuzaliwa Mkuu wa Wilaya ya hapo kando ya Jiji...
    May almighty God grant you life full
    of LOVE AND HAPPINESS.

    Salam toka - Istanbul

    ReplyDelete
  33. Happy Birthday Bro Michuzi !!

    May God Bless You and grant you many of your wishes!

    Keep up the good work!

    Mdau.

    ReplyDelete
  34. Happy Birthday Bro. Michuzi...
    Be blessed sana....
    Ni sie wadau wa weruweru...

    ReplyDelete
  35. HAPPY BIRTHDAY MR MICHUZI!!!!!!!!!
    CONGRATULATION FOR UPDATED US BIG UP TO YOU!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  36. happy birthday.... umezaliwa mwisho wa mwezi kwa hiyo mambo yako thupa..... basi tunaomba mwaliko
    mama ushauri

    ReplyDelete
  37. Hapi bestdai Misupu! Endeleza libeneke kwa miaka mara 100 yako sasa!Imekuja wakati mzuri baada ya Bwawa la Maini kuponea chupuchupu!

    ReplyDelete
  38. Mwaka gani i mean how old are u now eennhh??
    sema usifiche tujue ukweli.

    ReplyDelete
  39. Happy Birthday Mr Michuzi.Naweza kukisia kwa karibu Umri wako Mr Michuzi.Ulikuwa umeanza kupiga picha kwenye Disco Toto YMCA na mimi kipindi hiko nilikuwa Primary School miaka ya 80's a kwa kukisia ulikuwa na miaka si chini ya 18 na si zaidi ya 21 kwahiyo nikichukua miaka yangu kipindi hicho mpaka leo hii Kaka Michuzi Umri wako ni kati ya miaka 50 mpaka 53.


    Mdau T (Londoner)

    ReplyDelete
  40. Happy birth day bro!!!

    "Kisoda"

    ReplyDelete
  41. Happy birthday 2 u
    Happy birthday 2 u
    Happy birthday dear MICHUZII....
    Happy birthday 2 u
    How old r u now?
    How old r u now?
    Happy birthday dear MICHUZII
    HAPPY BIRTHDAY 2 U!!!!!
    HIPP HIPP HURRAAA!!!!

    ReplyDelete
  42. happy birthday,mkuu...may god blees u and give u long health and sucsseful life...amin

    ReplyDelete
  43. Happy birthday mzee wa tegeta,

    Kumbe umekuwa mkubwa kwa one month mzee lazima nitakukuta tu.

    G7
    UK

    ReplyDelete
  44. HAPPY BASDEI TO YOU! KATUNYIMA UBUYU! HEPI BESDEI DEA MICHUZI!!!!! HEPI BESDEI TO YOU!!
    MANY HAPPY RETURNS BRO!!
    Nana czech

    ReplyDelete
  45. Happy Birthday Bwana Michuzi, japo hukutuambia ni miaka mingapi umetimiza.

    Kaka Michuzi ama kwa wadau wote wa Blog hii, nataka Kumpa taarifa ya nyaraka( Documents) muhumu za ndugu mmoja ambazo inaonesha alizipoteza na zikaokotwa na wasamaria wema (wafanyakazi wenzangu) na wakaziwakilisha kwangu. Naomba nielekezwe namna ya kutuma ujumbe wa kumjulisha huyo ndugu kupitia Blog hii. Tafadhali naomba msaada wadau wote mnielimishe.
    Dotto.

    ReplyDelete
  46. who cares?

    ReplyDelete
  47. Happy birthday to you, may you see many more

    ReplyDelete
  48. HEPI BESDEI TU YU,HEPI BESDEI TU YU,HEPI BESDEI DIA MICHU HEPI BESDEI TU YU!
    HAHAHAHAHAHAHAHAHAAAAAAAAAA HONGEA MGOSHI

    ReplyDelete
  49. Happy Birthday Michu!Mungu akupe afya njema na na mafanikio, akuwezeshe kumkumbuka zaidi siku zako zilizobaki. Amen

    ReplyDelete
  50. Happy B'day. Hope you have a great day and a wonderful year that follows

    ReplyDelete
  51. Happy Birthday Kaka michuzi!

    ReplyDelete
  52. Happy Birthday Bro! MNYARUGUSU

    ReplyDelete
  53. Don’t complain about growing old – many, many people do not have that privilege.

    Yasini Mfunda

    ReplyDelete
  54. KILA LA KHERI BRO MICHUZI, MUNGU UKUZIDISHIE MAISHA MARA DUFU IKIWEZEKANA UISHI TENA MIKA KAMA HIYO ULIYOKULA, NAKUMBUKA SIKU NYINGI SANA KATIKA MAGAZETI YA CHAMA NA SERIKALI WAKATI ULEEEEE, KILA ASUBUHI NYUMBANI WAKINUNUWA GAZETI KITU CHA KWANZA NILIKUWA NAKIMBILIA PICHA KUONA PICHA GANI LEO MICHUZI KATULETEA, NI MTU WA SIKU NYINGI SANA HUYU MTU NA MAHILI KWELI KWELI NA MTAFIFITI FIKA WA MASWALA HAYA YA PICHA, HIVI KARIBUNI NILISIKILIZA MAHOJIANO YAKE NA BAADHI YA BONGO CELEBRITIES NA WATU WA KAWAIDA KATIKA DAILY NEWS WEB VIDEO, WOW! MICHUZI ANA VOICE NZURI SANA, NAKUMBUKA SANA HUYU BWANA MIAKA YA 80'S HADI YA 90'S KILA MTU ALIKUWA ANAMJUWA MICHUZI WA DAILY NEWS, HE IS AWESOME AND GREAT, MWISHO TENA, HONGERA NA SIKU YAKO YA KUZALIWA - HAPPY BIRTH DAY.

    WAKO,
    MTANZANIA,
    LANGSHOTT,
    SAREL WAY,
    HORLEY,
    SURREY,
    LONDON,
    UNITED KINGDOM.

    ReplyDelete
  55. HAPPY BIRTHDAY HONEY!

    ReplyDelete
  56. Happy belated birthday kaka michuzi ila kama umri mkubwa sana utakuwa mamichuzi.

    Stay blessed endeleza libeneke kwa hasira zaidi

    ReplyDelete
  57. Happy birthday kaka michuzi nakuona na fulanaz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...