KWA WATANZANIA WANAOISHI NJE YA NCHI.........

MKIAMUA KUJENGA NYUMBA NYUMBANI....


MAMBO NI HAYO


NOW INTRODUCING


THE LATEST TECHNOLOGY IN TANZANIA!UPVC WINDOWS, DOORS AND PARTITION-RUST PROOF

-Self extinguishing characteristic

-Environmental Friendly-Low Thermal Conductivity

-Better Sound Insulation properties

-No warping and twisting

-Corrosion Free

-Water, Air and Dust Resistant

-Frames reinforced with Steel Sections



PLEASE FEEL FREE TO CALL US FOR A FREE MEASUREMENT AND QUOTATION!!

Thank you,


Best Regards

PROSPER or MOHAMED

AQEEL TRADERS LIMITED

H.O: PLOT 1662/75

INDIRA GANDHI STREET

P O BOX 8310,

DAR-ES-SALAAM

TANZANIATEL :

+255-22-2130918/2135818-9

FAX: +255-22-2132991



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. HAKUNA GARANTII NA MALI IKISHANUNULIWA HAIRUDISHWI. BONGO BIASHARA PATAPOTEA.

    ReplyDelete
  2. Slide doors nchi ya majambazi kama Bongo, mbali yakuingiliwa na majambazi sikuuuza uhai wako nje nje?

    ReplyDelete
  3. watu wa mamtoni huwa tunatumia sana website, kwa hiyo you guys need to spend some money and work on your site.

    ReplyDelete
  4. Kwani waliko nyumbani hawajengi?

    Tangaza biashara sio kukebehi watu....

    ReplyDelete
  5. 1. HIZO NI BIDHAA ZA AJABU SANA. UNATUAMBIA SELF-EXTINGUISHING CH.STIC - MBONA WTC YA SEPT 11 HAIKUJIZIMA, FIRE ILILETWA YA NINI?

    2. HIYO WEBSITE MNAUZA HADI USED ZA MAGARI, AU HIVO MNAVOTAJA NI VIPYA?

    ReplyDelete
  6. Tuna Towa Guarantee ya 2 YEARS on all our products !

    ReplyDelete
  7. anonimous!!mbona unaongea sana?
    Hiyo twin tower je ilifungua na uPVC ?au zilikua madirisha za plastiki tu?Peleleza kabla ya kutoa maoni!Kama msomi utakua unajua tofauti baina ya uPVC na Pastic windows.
    Maana ya uPVC ni uplasticised poly vinyl chrolide.Na kama chemistry ipo katika mawazo bado,basi utakumbuka kuwa chlorine ina fire-extinguishing characteristic.
    Na,for your information,siku hizi nbongo si bongo ya zamani.Kuna vitu vinapatikana ambavyo vina guarantees na warranties za aina yote.Inategemea unaponunulia.Of course,kama umenunulia chini ya mwembe basi ujue matokeo yake!
    Nadhani nimejibu sahihi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...