
KWA WATANZANIA WANAOISHI NJE YA NCHI.........
MKIAMUA KUJENGA NYUMBA NYUMBANI....
MAMBO NI HAYO
NOW INTRODUCING
THE LATEST TECHNOLOGY IN TANZANIA!UPVC WINDOWS, DOORS AND PARTITION-RUST PROOF
-Self extinguishing characteristic
-Environmental Friendly-Low Thermal Conductivity
-Better Sound Insulation properties
-No warping and twisting
-Corrosion Free
-Water, Air and Dust Resistant
-Frames reinforced with Steel Sections
PLEASE FEEL FREE TO CALL US FOR A FREE MEASUREMENT AND QUOTATION!!
Thank you,
Best Regards
PROSPER or MOHAMED
AQEEL TRADERS LIMITED
H.O: PLOT 1662/75
INDIRA GANDHI STREET
P O BOX 8310,
DAR-ES-SALAAM
TANZANIATEL :
+255-22-2130918/2135818-9
FAX: +255-22-2132991
website: www.aqeel.co.tz
email: atl@cats-net.com
HAKUNA GARANTII NA MALI IKISHANUNULIWA HAIRUDISHWI. BONGO BIASHARA PATAPOTEA.
ReplyDeleteSlide doors nchi ya majambazi kama Bongo, mbali yakuingiliwa na majambazi sikuuuza uhai wako nje nje?
ReplyDeletewatu wa mamtoni huwa tunatumia sana website, kwa hiyo you guys need to spend some money and work on your site.
ReplyDeleteKwani waliko nyumbani hawajengi?
ReplyDeleteTangaza biashara sio kukebehi watu....
1. HIZO NI BIDHAA ZA AJABU SANA. UNATUAMBIA SELF-EXTINGUISHING CH.STIC - MBONA WTC YA SEPT 11 HAIKUJIZIMA, FIRE ILILETWA YA NINI?
ReplyDelete2. HIYO WEBSITE MNAUZA HADI USED ZA MAGARI, AU HIVO MNAVOTAJA NI VIPYA?
Tuna Towa Guarantee ya 2 YEARS on all our products !
ReplyDeleteanonimous!!mbona unaongea sana?
ReplyDeleteHiyo twin tower je ilifungua na uPVC ?au zilikua madirisha za plastiki tu?Peleleza kabla ya kutoa maoni!Kama msomi utakua unajua tofauti baina ya uPVC na Pastic windows.
Maana ya uPVC ni uplasticised poly vinyl chrolide.Na kama chemistry ipo katika mawazo bado,basi utakumbuka kuwa chlorine ina fire-extinguishing characteristic.
Na,for your information,siku hizi nbongo si bongo ya zamani.Kuna vitu vinapatikana ambavyo vina guarantees na warranties za aina yote.Inategemea unaponunulia.Of course,kama umenunulia chini ya mwembe basi ujue matokeo yake!
Nadhani nimejibu sahihi.