mwogeleaji wa bongo kahlid yahaya rushaka akishindana katika michuano ya olympic huko beijing. katika kafia la kwanza aliibuka mshindi wa tatu katika kuogelea mita 5 staili huru. katika

aliporudi kwenye qualification aliibuka wa 84. soma zaidi kwa kubofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mwenyeji wa blog nakupongeza kwa kwa kumtia moyo huyu mwenzetu, nimeona taarifa hii kwenye blog nyingine yalikuwa negative.Tanznia tuko nyuma kwa kila sector, pia tunaytakiwa kuwa nyuma kuhusu hili swala la kukatishana tamaa na kushangilia wengine wanapoteleza au kuanguka. Upendo na kupeana moyo ndio utakao tukomboa.

    ReplyDelete
  2. HONGERA NDUGU YETU.

    ReplyDelete
  3. WABONGO TUNAPENDA KUPEANA SIFA BILA SABABU YOYOTE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...