
Jana ilikuwa bethdei yangu, nimetimiza miaka miwili. Nilitaka kukualika, Dad akaniambia uko vekesheni Ethiopia. Rafiki zangu walikuja, tulikula keki na kunywa soda na juice. Dad kaniambia karibuni nitaanza kusaka tu-Nondozzz kindergarten!
Ndimi mdau wako mdogo mdogo
FAITH OCTAVIAN BARNABAS.
------------------------------
mdau faith!
hongera sana kwa hepi bethdei ya pili ya kuzaliwa kwako. ningejua ningerudi mapema nifaidi hiyo keki. umependeza sana. mwambie dad asinisahau utapotimiza miaka 3. sawa ehhhh mtoto mzuri. haya ngoja nikuimbie
hepi bethdi tu yuuuu
hepi bethdei tu yuuuuuuuuuuuu
hepi bethdei dia faithy
hepi bethdei tu yuuuuuuu
-michuzi
Happy Birthday mtoto mzuri!
ReplyDeleteFaith ur so cute and adorable baby gal, lv u and wish u many many yrs to come. Happy b'day lol.
ReplyDeleteDuh!
ReplyDeleteKazuri sana. Kameaanza kuotesha taarabu mapema hivi! Mungu ibariki injii iendelee kuwa na vimwana wa nguvu kama hivi kunakoelekea huyu!
Wamependeza watoto wa tz!. Safi sana na Mungu aendele kutupa neema hivi hivi nchi iliyojaa kila kitu na mafisafi wachache. Nchi safi hii.
ReplyDeleteSasa huyu Dad, ni yupi? Michuzi? Maana kama sielewi hivi!
ongera mtoto mzuri mwenyezi mungu akukuze inshallah aminaaaaaaaaa
ReplyDeleteMichuzi blog yako siku imeshakuwa ya kitoto na imejaa mambo yasiyo na msingi.
ReplyDeletehappy birthday da faith ur so cute luv u sisy
ReplyDeleteOC mwanao Bomba sana ...nitakuja kwako kufanya bambo ya Block C ...
ReplyDeleteHAPPY BIRTHDAY FAITH
Gauss
ADCS 1997-2000 ----- IFM
Sasa Balozi, kila mtu akileta besidei ya wanawe si itakuwa balaa. Post vitu vya maana bwana, au anzisha brogu ya besidei tu.
ReplyDeleteUsituboe ohhhh
Nyi mnalialia humu kuhusu birthday, Michuzi anachagua picha ya mfano. Si kila picha inawekwa humu! hata waandishi wa habari wanakuwa na habari kibao lakini kuna habari inayovuta hisia ndiyo inawekwa mbele. Si kila habari ndugu!
ReplyDeleteWe annon Nov24 6;31 na Nov 24 1:08PM
Happy bethidei mtoto mzuri, mungu akubariki eeh!
ReplyDeleteUSHAURI WA BURE: wanaofikiri kwamba kutuma picha za watoto humu si jambo la maana watuambie lipi ni jambo la maana. kaka Michu usiwasikilize hao kwani hii ni globu ya jamii wakiwemo watoto na wakubwa!
Nawakilisha
Happy birthday Faith!!
ReplyDeleteBaba Moses-Texas