Hi Uncle Michuzi,
Jana ilikuwa bethdei yangu, nimetimiza miaka miwili. Nilitaka kukualika, Dad akaniambia uko vekesheni Ethiopia. Rafiki zangu walikuja, tulikula keki na kunywa soda na juice. Dad kaniambia karibuni nitaanza kusaka tu-Nondozzz kindergarten!
Ndimi mdau wako mdogo mdogo
FAITH OCTAVIAN BARNABAS.
------------------------------
mdau faith!
hongera sana kwa hepi bethdei ya pili ya kuzaliwa kwako. ningejua ningerudi mapema nifaidi hiyo keki. umependeza sana. mwambie dad asinisahau utapotimiza miaka 3. sawa ehhhh mtoto mzuri. haya ngoja nikuimbie
hepi bethdi tu yuuuu
hepi bethdei tu yuuuuuuuuuuuu
hepi bethdei dia faithy
hepi bethdei tu yuuuuuuu
-michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Happy Birthday mtoto mzuri!

    ReplyDelete
  2. Faith ur so cute and adorable baby gal, lv u and wish u many many yrs to come. Happy b'day lol.

    ReplyDelete
  3. Duh!
    Kazuri sana. Kameaanza kuotesha taarabu mapema hivi! Mungu ibariki injii iendelee kuwa na vimwana wa nguvu kama hivi kunakoelekea huyu!

    ReplyDelete
  4. Wamependeza watoto wa tz!. Safi sana na Mungu aendele kutupa neema hivi hivi nchi iliyojaa kila kitu na mafisafi wachache. Nchi safi hii.

    Sasa huyu Dad, ni yupi? Michuzi? Maana kama sielewi hivi!

    ReplyDelete
  5. ongera mtoto mzuri mwenyezi mungu akukuze inshallah aminaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  6. Michuzi blog yako siku imeshakuwa ya kitoto na imejaa mambo yasiyo na msingi.

    ReplyDelete
  7. happy birthday da faith ur so cute luv u sisy

    ReplyDelete
  8. OC mwanao Bomba sana ...nitakuja kwako kufanya bambo ya Block C ...
    HAPPY BIRTHDAY FAITH


    Gauss
    ADCS 1997-2000 ----- IFM

    ReplyDelete
  9. Sasa Balozi, kila mtu akileta besidei ya wanawe si itakuwa balaa. Post vitu vya maana bwana, au anzisha brogu ya besidei tu.
    Usituboe ohhhh

    ReplyDelete
  10. Nyi mnalialia humu kuhusu birthday, Michuzi anachagua picha ya mfano. Si kila picha inawekwa humu! hata waandishi wa habari wanakuwa na habari kibao lakini kuna habari inayovuta hisia ndiyo inawekwa mbele. Si kila habari ndugu!
    We annon Nov24 6;31 na Nov 24 1:08PM

    ReplyDelete
  11. Happy bethidei mtoto mzuri, mungu akubariki eeh!

    USHAURI WA BURE: wanaofikiri kwamba kutuma picha za watoto humu si jambo la maana watuambie lipi ni jambo la maana. kaka Michu usiwasikilize hao kwani hii ni globu ya jamii wakiwemo watoto na wakubwa!

    Nawakilisha

    ReplyDelete
  12. Happy birthday Faith!!
    Baba Moses-Texas

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...