waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa mh. bernard membe (shoto) na naibu waziri wa ulinzi dr. emmanuel nchimbi wakiwasili katika ukumbi wa Umoja wa Afrika kuhudhuria mkutano wa troika wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya hapa Addis Ababa leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jamani nauliza waziri wetu wa ULINZI Mh.Hussen Mwinyi yuko wapi? jamani make mkutano mkubwa kama huo ilikuwa ni busara ahudhurie ili aweke uzito kwa nafasi yake...aaaha nimekumbuka kumbe hataki kujionesha sana hasa kipindi hiki ambacho ni cha kulipua viongozi kwa UFISADI na waandishi wasivyo na maana wanaweza kubwatuka mengi na kumuharibia nia na malengo yake huko Zanzibar...usijali mh. you are very clean aha ah ah!!!

    CHANGARAWE

    ReplyDelete
  2. hao ndio ,mabingwa wa fitna tanzania nzima

    ReplyDelete
  3. Uongo mbaya...Membe looks like an executive...huyo mwingine..duh sura yake tu anaonekana ana majivuno!

    Mdau--Des Moines

    ReplyDelete
  4. Hivi huyu Nchimbi hana hata social smile?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...