Home
Unlabelled
membe na nchimbi wahudhuria troika ya AU na EU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani nauliza waziri wetu wa ULINZI Mh.Hussen Mwinyi yuko wapi? jamani make mkutano mkubwa kama huo ilikuwa ni busara ahudhurie ili aweke uzito kwa nafasi yake...aaaha nimekumbuka kumbe hataki kujionesha sana hasa kipindi hiki ambacho ni cha kulipua viongozi kwa UFISADI na waandishi wasivyo na maana wanaweza kubwatuka mengi na kumuharibia nia na malengo yake huko Zanzibar...usijali mh. you are very clean aha ah ah!!!
ReplyDeleteCHANGARAWE
hao ndio ,mabingwa wa fitna tanzania nzima
ReplyDeleteUongo mbaya...Membe looks like an executive...huyo mwingine..duh sura yake tu anaonekana ana majivuno!
ReplyDeleteMdau--Des Moines
Hivi huyu Nchimbi hana hata social smile?
ReplyDelete