Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Wawaulize waZenji - walileta fyokofyoko mpaka kikombe kimoja cha udongo kinacho saidia upatikanaji wa umeme Zenji hakikupatikana dunia nzima! Walilia......

    Si wanasema mtambo umechukuliwa kwa wanyalikolo wa Mafinga - sijui wao wamekosa nini kwani walimchagua JK kwa asilimia kubwa kupita wilaya yeyote ile Tanzania!!! Mwee, Mufindi, mmekosa nini nyie?

    ReplyDelete
  2. whaaaaaaaaaat???
    ila jamani kuna vitu vya kufanya na si kumkomoa mwananchi,,,ivi hii mitambo inayozima mkoa mzima kulikoni?????
    yan hainiingii akilini kabisa
    wee annon apo mwanzo,,,una uhakika???usitupandishe HASIRA
    wanyalu tuwasaidie tu ndugu zetu hao japo,,,inguluvi itange

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...