Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bei za matumizi ya simu za mikononi Tanzania ziko juu sana.
ReplyDeleteWahusika wanaweza kusingizia ni suala la kodi. Lakini ukweli ni kwamba makampuni haya yanalipa kodi kidogo sana na pengine wana misamaha kibao.
TCRA kama ilivyokuwa kwa EWURA wameshindwa kumpunguzia machungu Mtanzania. Hivyo inabidi wananchi wenyewe tuanze kulipigia kelele.
Harakati kama za Masoud Kipanya zinahitaji sapoti yetu watanzania wote.
Mdau
Faustine
http://drfaustine.blogspot.com
PIA NI VIGUMU KUJASTFAI KWAMBA KIPANYA ATAMWAGIWA TINDIKALI KWA KUANZISHA KAMCHEZO KA KUMWAGIA MCHANGA VITUMBUA VYA WATU
ReplyDeleteSalute KP!!!!EWURA,DSTV,TCRA,WAWEKEZAJI WA DOLA,WAWEKEZAJI HEWA ,Watanzania tuamkeni nchi inakwisha jamani
ReplyDeleteni kweli bei za simu ziko juu sana. Lakini pia kuna watu wengi sana wana simu wakati hawazihitaji.
ReplyDeleteKP uko juu. Hivi watanzania mbona tunaonewa hivi jamani mpaka lini? Hivi jamani mnajuwa kuwa kupiga kutoka kwenye mobile ni gharama kuliko kwenye call box kwa mtandao huo huo? Hii wizara waziri ni Prof. na boss wa TCRA ni Prof.jamani wote mmeshindwa kutusaidia? Nov 08 nilikuwa Cameroon na Nigeria ilikuwa nikipiga simu bongo nashindwa kuelewa kama wanancharge au lah kwani gharama zao ziko chini sana. Nilipouliza walisema wanaregulatory authority ambayo na sisi pia tunayo (TCRA) tofauti nadhani ni meno. Sasa sijui ni mpaka Mungu ashuke awape hayo meno hawa TCRA? Mungu tusaide Tanzania.
ReplyDeleteKP kama umeamulia hawa watu safi kabisa.Keep going.HALAFU TANZANIA KUNA KITU KINAITWA "TITISIELO MOBAILI",MMH KINAKULA KWENYE HUDUMA YA INTERNET,SI MCHEZO(mtu mwenye kufahamu sehemu nyingine ninayoweza kukimbilia anisaidie jamani).
ReplyDeleteMakampuni ya simu ndiyo yanayoongoza kwa kulipa mishahara mikubwa kwa sasa, hii inadhihirisha ni kwa kiasi gani wanawakamua waTZ fedha, kama haitoshi makampuni hayohayo ndiyo yanaongoza kwa promosheni kibao za Kuwa fumba macho wa lalahoi kila siku wana buni aina mpya ya kuwadanganya waTZ hiyo DSTV ndiyo usiseme.
ReplyDeleteWe anon wa 12.30 nchi inakwisha??How kwa sababu ya bei ya dstv? mafuta? au? n.k. Hello nchi haishi unaeisha ni wewe ambaye kila unachokitamani unataka ukimiliki. Hapo ndipo penye tatizo. Hivi ni lazima ununue kila kitu kilichoko sokoni? Ni muhimu kujipanga bro/sister
ReplyDeleteKP, please tuangalie NAULI mkuu. Mafuta yameshuka, nauli pale pale!! Hivi tatizo ni nini Tanzania hii?
ReplyDeleteNCHI INAKATISHA TAMAA KABISA HII. MAMBO YAKE NI "ZIMA MOTO" KWENYE KILA KITU. Hili la nauli lilipaswa liende sawa na ushushaji bei wa mafuta, but aaaaaaaaah! Hivi tuna viongozi wa aina gani? Au hata hili lazima Rais asemee au bunge lijadili? Such a simple matter?
In english Masoud's statement can be translated as "It's difficult to justify something that its justification is unjustifiable to justify." Kipanya ni msanii mwenye kipaji kikubwa na uwezo wake wa kucheza na lugha ya Kiswahili unastahiri kupongezwa.
ReplyDeleteAnon wa 8;39pm hapo juu umesema kweli. Mzee kp unakipaji cha hali ya juu. NINGEPENDA KUONGEZA , SHUKURANI ZA DHATI PIA ZIMWENDEE MKUU WA WILAYA YA NANIHII KWA JUHUDI ZAKO NA KAZI NJEMA, KWANI NAWE UPO MBELE KATIKA KUTULETEA HABARI MOTO MOTO KUPITIA LUGHA NYEPESI YA KIDAU AMBAYO BY ITSELF NI ENTERTIMENT YA KUTOSHA. PIA KWA KUWEZA KUMPA KIPANYA KIWANJA CHA HALI YA JUU KUONYESHA KIPAJI CHAKE HADI KUTUFIKIA WADAU TULIO MBALI NA NYUMBANI!
ReplyDeleteBIG UP MASOUDI !!!!
BIG UP MICHUZI!!!!!
Mdau
Tatizo la sisiwabongo we talk too much bila research na references! Furahisha baraza tu!!!
ReplyDeletetutafika tu,,,
ReplyDelete