Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Bei za matumizi ya simu za mikononi Tanzania ziko juu sana.
    Wahusika wanaweza kusingizia ni suala la kodi. Lakini ukweli ni kwamba makampuni haya yanalipa kodi kidogo sana na pengine wana misamaha kibao.
    TCRA kama ilivyokuwa kwa EWURA wameshindwa kumpunguzia machungu Mtanzania. Hivyo inabidi wananchi wenyewe tuanze kulipigia kelele.
    Harakati kama za Masoud Kipanya zinahitaji sapoti yetu watanzania wote.
    Mdau
    Faustine
    http://drfaustine.blogspot.com

    ReplyDelete
  2. PIA NI VIGUMU KUJASTFAI KWAMBA KIPANYA ATAMWAGIWA TINDIKALI KWA KUANZISHA KAMCHEZO KA KUMWAGIA MCHANGA VITUMBUA VYA WATU

    ReplyDelete
  3. Salute KP!!!!EWURA,DSTV,TCRA,WAWEKEZAJI WA DOLA,WAWEKEZAJI HEWA ,Watanzania tuamkeni nchi inakwisha jamani

    ReplyDelete
  4. ni kweli bei za simu ziko juu sana. Lakini pia kuna watu wengi sana wana simu wakati hawazihitaji.

    ReplyDelete
  5. KP uko juu. Hivi watanzania mbona tunaonewa hivi jamani mpaka lini? Hivi jamani mnajuwa kuwa kupiga kutoka kwenye mobile ni gharama kuliko kwenye call box kwa mtandao huo huo? Hii wizara waziri ni Prof. na boss wa TCRA ni Prof.jamani wote mmeshindwa kutusaidia? Nov 08 nilikuwa Cameroon na Nigeria ilikuwa nikipiga simu bongo nashindwa kuelewa kama wanancharge au lah kwani gharama zao ziko chini sana. Nilipouliza walisema wanaregulatory authority ambayo na sisi pia tunayo (TCRA) tofauti nadhani ni meno. Sasa sijui ni mpaka Mungu ashuke awape hayo meno hawa TCRA? Mungu tusaide Tanzania.

    ReplyDelete
  6. KP kama umeamulia hawa watu safi kabisa.Keep going.HALAFU TANZANIA KUNA KITU KINAITWA "TITISIELO MOBAILI",MMH KINAKULA KWENYE HUDUMA YA INTERNET,SI MCHEZO(mtu mwenye kufahamu sehemu nyingine ninayoweza kukimbilia anisaidie jamani).

    ReplyDelete
  7. Makampuni ya simu ndiyo yanayoongoza kwa kulipa mishahara mikubwa kwa sasa, hii inadhihirisha ni kwa kiasi gani wanawakamua waTZ fedha, kama haitoshi makampuni hayohayo ndiyo yanaongoza kwa promosheni kibao za Kuwa fumba macho wa lalahoi kila siku wana buni aina mpya ya kuwadanganya waTZ hiyo DSTV ndiyo usiseme.

    ReplyDelete
  8. We anon wa 12.30 nchi inakwisha??How kwa sababu ya bei ya dstv? mafuta? au? n.k. Hello nchi haishi unaeisha ni wewe ambaye kila unachokitamani unataka ukimiliki. Hapo ndipo penye tatizo. Hivi ni lazima ununue kila kitu kilichoko sokoni? Ni muhimu kujipanga bro/sister

    ReplyDelete
  9. KP, please tuangalie NAULI mkuu. Mafuta yameshuka, nauli pale pale!! Hivi tatizo ni nini Tanzania hii?

    NCHI INAKATISHA TAMAA KABISA HII. MAMBO YAKE NI "ZIMA MOTO" KWENYE KILA KITU. Hili la nauli lilipaswa liende sawa na ushushaji bei wa mafuta, but aaaaaaaaah! Hivi tuna viongozi wa aina gani? Au hata hili lazima Rais asemee au bunge lijadili? Such a simple matter?

    ReplyDelete
  10. In english Masoud's statement can be translated as "It's difficult to justify something that its justification is unjustifiable to justify." Kipanya ni msanii mwenye kipaji kikubwa na uwezo wake wa kucheza na lugha ya Kiswahili unastahiri kupongezwa.

    ReplyDelete
  11. Anon wa 8;39pm hapo juu umesema kweli. Mzee kp unakipaji cha hali ya juu. NINGEPENDA KUONGEZA , SHUKURANI ZA DHATI PIA ZIMWENDEE MKUU WA WILAYA YA NANIHII KWA JUHUDI ZAKO NA KAZI NJEMA, KWANI NAWE UPO MBELE KATIKA KUTULETEA HABARI MOTO MOTO KUPITIA LUGHA NYEPESI YA KIDAU AMBAYO BY ITSELF NI ENTERTIMENT YA KUTOSHA. PIA KWA KUWEZA KUMPA KIPANYA KIWANJA CHA HALI YA JUU KUONYESHA KIPAJI CHAKE HADI KUTUFIKIA WADAU TULIO MBALI NA NYUMBANI!
    BIG UP MASOUDI !!!!
    BIG UP MICHUZI!!!!!
    Mdau

    ReplyDelete
  12. Tatizo la sisiwabongo we talk too much bila research na references! Furahisha baraza tu!!!

    ReplyDelete
  13. tutafika tu,,,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...