Home
Unlabelled
kichere na joune wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi shekhe inakuwaje hapo tena? nimeangalia hadi nikamuita my waifu mke wangu aje kunisaidia kuangalia lakini sijaona ndafu hapo naye akasema anaona kitu kama ugali kikiwa na shepu ya libugando (bugando kwa watani zangu wasukuma ni kitu chochote chenye ghorofa)
ReplyDeletejamani ongereni sana maarusi, kwani bado tunaamini na hatuta acha kuamini kwamba Alicho kiunganisha mungu mwanadamu kamwe asikitenganishe!!!!!!!!
ReplyDeleteila msisau kwamba ndoa ni alama inayoonyesha hapo juu kabisa ya hiyo keki yenu nzuri sana!!!!
Ongereni sana!!
Mdau wa canada!
Hivi hiyo ni keki au ndafu am sorry but mi naona kama keki
ReplyDeleteMICHUZI HIYO NI NDAFU AU KEKI...???..ANYWAYZ BEST OF LUCK KWA MAHARUSI..
ReplyDeleteWewe anony. uliyejitambulisha mdau wa Canada hatusemi "ongereni"? Hicho ni kiswahili cha ki-Canada labda!!!. Tunasema "hongereni" Tafadhari jifunze kiswahili sanafu na sio kuharibu lugha za watu.
ReplyDeleteMdau
mdau hapo juu hakuna "kiswahili sanafu" kuna "kiswahili sanifu.nyani kucheka kundule.
ReplyDeleteMdau wa Buja.
hapo juu mdau wa 11:23am, tunasema TAFADHALI na sio TAFADHARI... r u from Bukoba??? Watch out b 4 u COMMENT...
ReplyDeleteNapenda sana kukosolewa!
ReplyDeleteJamani wandoa hongereni!!!!
Ila jamani tusiwaonee wivu,tunachotakiwa ni kuwapongeza kwani wametimiza maandiko ya kitabu cha mungu na pongezi zangu kwa wafamilia hii ni ya Kiroho!!!!!!
Hongereni sana na mungu awabariki mpate familia bora!!
Mdau canadaa!!
siwajui but siyo mbaya kumsifia mtu akifanya kitu kizuri...kwakweli mmependeza sana na cake yenu ni unique! Mungu awabariki siku zite.
ReplyDeleteOkay, guys this is not about you or how good your Swahili is. It is about the bride and the groom.
ReplyDeleteHongereni maharusi.
"Ongereni" , "Tafadhari" na "Sanafu", mimi sioni tofauti yake, wewe mwenyewe lugha inakupiga chenga halafu unathubutu kukosoa watu!
ReplyDeleteama wewe kweli mcheka kundule!
hongereni sana maharusi.lakin hakuna ndizi za kuuza wala mahindi huku Rorya.hapo inakuwaje?mnatupiga chogi hapo!!!
ReplyDeletemmmhhhh, wafanyabiashara ya mahindi na Ndizi?, haya bana
ReplyDeleteWe Anony wa saa 11:23 unajifanya kukosoa wenzako wakati we mwenyewe full kuchapia, huwa hatusemi KISWAHILI SANAFU ni KISWAHILI SANIFU, haloooooooooooooooooooooooo!
ReplyDeleteKibajaj
kwani hamjaelewa na iyo michapio?
ReplyDeletewafanyabiashara?sasa mtashare mtaji na kubadili mwelekeo kibiashara au ndo ndoa za siku izi "chako chetu,changu ni changu"
kaaaaaaaaazi kweli
mmependeza
ni wafanyabishara wa mahindi hao????uongo mtupu!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteElimu kweli ni kitu muhimu sana, ni afadhali kutunga uongo unaofanana na ukweli, huko kujifanya ni wafanyabiashara ndio wameharibu kabisaaa
ReplyDeleteMICHUZI ACHA KUBANA MISAMIATI KAMA NYANI HAONI KUNDULE HUONA LA MWENZIE TU . HUO NI MSAMIATI WEKA COM YANGU YA JANA ASHA KUM SI MATUSI BWA SHEM
ReplyDelete