
ubao wa matangazo katika geti la makaburi ya kisutu leo





wakongwe wa habari toka shoto adarsh nayar (alikuwa mpiga picha mkuu wa daily news miaka ya 70) mzee uli mwambulukutu (bosi wa zamani wa daily news), david kyungu (mchora katuni za kalikenye enzi hizo), reggie mhango (mhariri wa habari wa zamani wa daily news)

waombolezaji wakipeana pole. toka shoto ni mkongwe hemedi kimwanga (enzi za gazeti la mfanyakazi), mwenyekiti wa yanga imani madega, mchezaji wa zamani wa pan africa na taifa stars salum carlos mwinyinimkuu na ustaadhi

rafiki wa karibu wa hayati hamidu bisanga, tony baretto (shoto, alikuwa mkuu wa kitengo cha matangazo daily news) akiongea na mdau pamoja na mwenyekiti wa baraza la habari kajubi mukajanga




wanachama waandamizi wa klabu ya michezo ya break point mazikoni




naibu mhariri mtendaji wa tanzania standard newspapers media group, mkumbwa ally (kulia) akisalimiana na mhariri wa habari wa zamani wa daily news mzee reggie mhango. kati ni mzee uli mwambulukutu, bosi wa zamani wa daily news
safi huu ndio uzalendo sio kama shayo kazi yake kukosoa tu bila kutoa solution.
ReplyDeleteSamahani nimeona tangazo katika ubao wa Matangazo hapo kisutu kuwa HURUSIWI KUJENGEA KABURI...
ReplyDeletemakaburi sehemu gani imesemwa isijengwe kwenye quran au dini hawa wakuu wa makaburi wanaleta ufundamentalism bila kujua dini wakati makaburi enzi za mtume yamejengwa
ReplyDeletekuna hadithi ya mtume (s.a.w) inasema kaburi linalopotea ni bora zaidi.
ReplyDeleterest in iternal peace uncle.we'll alwayz have ur memory with us,alwayz.
ReplyDeleteK.A.K