
KWA WAKAZI WA MIJI YA MOSCOW,ST .PETERSBURG, NIZHY NOVGORAD PAMOJA NA ROSTOV,
THE HUSTLERS ENTERTAINMENT
WANAKULETEA BASH BAB-KUBWA NA LA UKWELI NDANI YA JIJI LA MOSCOW 25 04 2009, MWANAF.A aka BINAMU, KUFANYA SHOW MOJA YA UKWELI , SO WAKAZI WA RUSSIA NA MIJI YAKE KAAENI MKAO WA KULA KWA MAKAMUZI YA KUFA MTU, AKIWA BADO YUPO JUU ZAIDI KATIKA ULIMWENGU WA BONGO-FLAVA, NA HOTEST-SINGLES ZAKE KAMA bado niponipo , Msiache kuongea, feat.jide PAMOJA NA NYINGINEZO NYINGI .
WABONGO WOTE MNAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUJA KUSHOW LUV , IKIWA NI PAMOJA NA KUWAHI KUJIPATIA TICKET YAKO MAPEMA
KWANI NAFASI ZIPO VERY LIMITED.
Vi SHule Ndio Kamaliza au imemshinda Shule kaamuwa kurudi katika anachoweza vizuri angalau anajuwa wapi pakuegemea.
ReplyDeleteHAKUNA NAMBA ZA MAWASILIANO AU HATA EMAIL.
ReplyDeletevenue to be annouced later haijakaa vizuri
ReplyDeleteHii ajira yake ya bank hapa inafanyika kweli?
ReplyDeletemmmmh! kazi kweli kweli!!
aisee huyu jamaa nyie mwacheni kama alivyo ndugu!yupo focused vibaya mno!na ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wa kibongo na mamiss ambao wanakimbia shule na kukimbilia kurasa za magazeti ili kuuza sura zao zilizojazwa mamakeup,ila huyu mtoto wa kitanga aisee anastahili pongezi,kama kapanga ratiba yake ikapangika apige show hata mars nini hapo urusi tu!amani sana kwa naakaya pia,maana ni artist wa kwanza wa bongoflava kufanya interview na c.t.n aaaah samahani c.n.n!
ReplyDeletewalioshindwa shule ndo wanauliza kama kaacha shule.huyu dogo tangu bongo ,alikuwa muzic na shule, akafanya vyema. akaajiliwa ,ikawa kazi na muziki,muziki na kazi, ikaaa sawa.huko nako ni shule, kazi na muziki. watanzania wengi wanafikiri haiwezekekani kwa sababu ya uvivu.
ReplyDeleteUKIAMUA, UNAWEZA.
nani anauliza kuhusu kazi ya jamaa ya nbc tena?anaishi dunia gani?
ReplyDeletekijana hongera sana! keep it up we feel u sana karibu marekani pia
ReplyDeletetunafurahi kusikia ukija huku, lakini huna jina kubwa, hatujawahi kukuona. mbaya zaidi wanafunzi wote masikini, waruhi hawaangalii mwafrica. fikiria kabla hujakata ticket.
ReplyDeletehi mwana usikonde tunakukarisha sana Moscow watu tuko vizuri sana tu na ndio maana tukaongea na wana wetu wa mitikasi wakutafute Biboze&Kihiga huku masela tuna kusubiri kwa hamu sana we miss man! huyo shoga hapo juu achana nae inawezekana hayupo moscow basi tu anawashwa.........
ReplyDeleteWellcome sana man.
Chao!
jamani mwana FA yuko bado moscow??anafanya tour au ni ile concert tu?!?
ReplyDelete