KWA WAKAZI WA MIJI YA MOSCOW,ST .PETERSBURG, NIZHY NOVGORAD PAMOJA NA ROSTOV,

THE HUSTLERS ENTERTAINMENT

WANAKULETEA BASH BAB-KUBWA NA LA UKWELI NDANI YA JIJI LA MOSCOW 25 04 2009, MWANAF.A aka BINAMU, KUFANYA SHOW MOJA YA UKWELI , SO WAKAZI WA RUSSIA NA MIJI YAKE KAAENI MKAO WA KULA KWA MAKAMUZI YA KUFA MTU, AKIWA BADO YUPO JUU ZAIDI KATIKA ULIMWENGU WA BONGO-FLAVA, NA HOTEST-SINGLES ZAKE KAMA bado niponipo , Msiache kuongea, feat.jide PAMOJA NA NYINGINEZO NYINGI .

WABONGO WOTE MNAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUJA KUSHOW LUV , IKIWA NI PAMOJA NA KUWAHI KUJIPATIA TICKET YAKO MAPEMA


KWANI NAFASI ZIPO VERY LIMITED.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Vi SHule Ndio Kamaliza au imemshinda Shule kaamuwa kurudi katika anachoweza vizuri angalau anajuwa wapi pakuegemea.

    ReplyDelete
  2. HAKUNA NAMBA ZA MAWASILIANO AU HATA EMAIL.

    ReplyDelete
  3. venue to be annouced later haijakaa vizuri

    ReplyDelete
  4. Hii ajira yake ya bank hapa inafanyika kweli?

    mmmmh! kazi kweli kweli!!

    ReplyDelete
  5. aisee huyu jamaa nyie mwacheni kama alivyo ndugu!yupo focused vibaya mno!na ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wa kibongo na mamiss ambao wanakimbia shule na kukimbilia kurasa za magazeti ili kuuza sura zao zilizojazwa mamakeup,ila huyu mtoto wa kitanga aisee anastahili pongezi,kama kapanga ratiba yake ikapangika apige show hata mars nini hapo urusi tu!amani sana kwa naakaya pia,maana ni artist wa kwanza wa bongoflava kufanya interview na c.t.n aaaah samahani c.n.n!

    ReplyDelete
  6. walioshindwa shule ndo wanauliza kama kaacha shule.huyu dogo tangu bongo ,alikuwa muzic na shule, akafanya vyema. akaajiliwa ,ikawa kazi na muziki,muziki na kazi, ikaaa sawa.huko nako ni shule, kazi na muziki. watanzania wengi wanafikiri haiwezekekani kwa sababu ya uvivu.
    UKIAMUA, UNAWEZA.

    ReplyDelete
  7. nani anauliza kuhusu kazi ya jamaa ya nbc tena?anaishi dunia gani?

    ReplyDelete
  8. kijana hongera sana! keep it up we feel u sana karibu marekani pia

    ReplyDelete
  9. tunafurahi kusikia ukija huku, lakini huna jina kubwa, hatujawahi kukuona. mbaya zaidi wanafunzi wote masikini, waruhi hawaangalii mwafrica. fikiria kabla hujakata ticket.

    ReplyDelete
  10. hi mwana usikonde tunakukarisha sana Moscow watu tuko vizuri sana tu na ndio maana tukaongea na wana wetu wa mitikasi wakutafute Biboze&Kihiga huku masela tuna kusubiri kwa hamu sana we miss man! huyo shoga hapo juu achana nae inawezekana hayupo moscow basi tu anawashwa.........
    Wellcome sana man.
    Chao!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 07, 2009

    jamani mwana FA yuko bado moscow??anafanya tour au ni ile concert tu?!?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...