
some of the First Ladies in a group photo in La
On April 20-21 fourteen first ladies from across Africa convened in Los Angeles for the African First Ladies Health Summit to discuss some of the most pressing issues facing the continent - women's health, education and the HIV/AIDS epidemic. The women met with experts, educators, analysts and doctors to identify new ways of moving forward to help empower Africa's women and girls.
Mdau Subi wa nukta77


its a great agenda.
ReplyDeletebut why in L.A.?
we have so many venues here in Africa..
Duu! Wameenda wameenda kukutania Los Angeles. Ina maana ilishindikana kabisa kwao kukutana Kumasi au Bamako?
ReplyDeleteDu, huyo mke wa Biya mbona kazi ipo. Yaani hio presentation tu naona maintenance ni mbombo ngafu.
ReplyDeleteBi mkubwa yuko wapi?au macho yangu?
ReplyDeleteweka na ile iliyofuatia hii ya saa 9:40pm pleaseeeeeeeeeeeeee;
ReplyDeletemsinichekeshe wewe ukiwa na shida ya kitu unamwita unayemtegemea akufuate? Mwenye shida ufuata ch............
ReplyDeleteMarekani wana akiri sana ya biashara wanajua waafrica watashindana matumizi
ReplyDeleteHivi ni macho yangu au Mama kikwete ni huyo aliyevaa suti ya kijivu sketi na koti? kama ni yeye basi kapendeza.
ReplyDeleteFirst lady mwenye suti ya cream na sunglasses,safi sana!
ReplyDeletehahahahahaaa mamaa salma wapi?????
ReplyDeletedah ma'first ladies uyo sunglasses na uyo kimini pembeni yake walokaa,siii mchezo totoz ziko juu,mbona bado visichana ivo????
km annon apo juu:ifanyike africa sie ndo HOST??inafanyika kwa watoa misaada wenyewe...wasafishe tongotongo pia
habari ndo iyo
He kwani Bado mama Mkapa ni First Lady????? maana namuona yupo hapo wanne kutoka kushoto mstari wa nyuma...LOL LOL
ReplyDeletemmh hii staili ya nywele ya first lady wapili kushoto(aliyekaa,kubwa kiliko!mi nakumbuka niliona staili kama hiyo kwa mcheza ngoma mmoja tabora!
ReplyDeleteHata mie nimetatizwa na hao mafirst ladies wenye muonekano wa kicheki-dada, nimewaona kama waduchu vile. Nikajiuliza hao mapresidaa wahusika watakuwa nao wadogo kiumri au ndo mambo ya 4th house!
ReplyDeletemi nina swali, Kwanini Lucy Kibaki hajaenda? and instead kaenda mke wa Odinga? kwani Lucy Kibaki si ndiye First Lady au nimekosea???
ReplyDeleteJamani kuuliza si ujinga!Hao ma first ladies wawili kulia mwisho ni wa inji gani??
ReplyDeletemwenye sunglasses ni mke wa king mswati wa swaziland
ReplyDeletemichu unabana sana aaaagh!!
ReplyDeleteme nim-mind uyo binti suti ya pinki nusu sketi mtamu sana.
sasa mboni picha mama salma hayupo?hii picha ya nini km si uchokozi??
oooh kumbe uyo binti sun-glasses ni mke wa mswati??I KNEW IT mtoto matawi mbichiiii,ni young wives ao!wanajua ku-lobby kwa wazee-presidaa waende izo mitoko
ni ayo,bana na hii sasa
Duuu watoto wametuliaa!
ReplyDeleteWadau nchi ambayo Rais wake ni mwanamke kama vile Liberia jamaa ana hasara maana hamna kikao wala mkutano wa Waume za Marais.
Jamaa naye si angejichanganya hapa tu kama hoja ni kuwa mwandani wa mkuu wa nchi.
Kila jambo na changamoto zake wadau
Wee Anony wa 6:58 macho si makali angalia uzuri,hilo dume la kulia mwisho laweza ndio naninii...!
ReplyDelete