some of the First Ladies in a group photo in La

On April 20-21 fourteen first ladies from across Africa convened in Los Angeles for the African First Ladies Health Summit to discuss some of the most pressing issues facing the continent - women's health, education and the HIV/AIDS epidemic. The women met with experts, educators, analysts and doctors to identify new ways of moving forward to help empower Africa's women and girls. 


Mdau Subi wa nukta77


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. its a great agenda.
    but why in L.A.?
    we have so many venues here in Africa..

    ReplyDelete
  2. Duu! Wameenda wameenda kukutania Los Angeles. Ina maana ilishindikana kabisa kwao kukutana Kumasi au Bamako?

    ReplyDelete
  3. Du, huyo mke wa Biya mbona kazi ipo. Yaani hio presentation tu naona maintenance ni mbombo ngafu.

    ReplyDelete
  4. Bi mkubwa yuko wapi?au macho yangu?

    ReplyDelete
  5. weka na ile iliyofuatia hii ya saa 9:40pm pleaseeeeeeeeeeeeee;

    ReplyDelete
  6. msinichekeshe wewe ukiwa na shida ya kitu unamwita unayemtegemea akufuate? Mwenye shida ufuata ch............

    ReplyDelete
  7. Marekani wana akiri sana ya biashara wanajua waafrica watashindana matumizi

    ReplyDelete
  8. Hivi ni macho yangu au Mama kikwete ni huyo aliyevaa suti ya kijivu sketi na koti? kama ni yeye basi kapendeza.

    ReplyDelete
  9. First lady mwenye suti ya cream na sunglasses,safi sana!

    ReplyDelete
  10. hahahahahaaa mamaa salma wapi?????

    dah ma'first ladies uyo sunglasses na uyo kimini pembeni yake walokaa,siii mchezo totoz ziko juu,mbona bado visichana ivo????

    km annon apo juu:ifanyike africa sie ndo HOST??inafanyika kwa watoa misaada wenyewe...wasafishe tongotongo pia

    habari ndo iyo

    ReplyDelete
  11. He kwani Bado mama Mkapa ni First Lady????? maana namuona yupo hapo wanne kutoka kushoto mstari wa nyuma...LOL LOL

    ReplyDelete
  12. mmh hii staili ya nywele ya first lady wapili kushoto(aliyekaa,kubwa kiliko!mi nakumbuka niliona staili kama hiyo kwa mcheza ngoma mmoja tabora!

    ReplyDelete
  13. Hata mie nimetatizwa na hao mafirst ladies wenye muonekano wa kicheki-dada, nimewaona kama waduchu vile. Nikajiuliza hao mapresidaa wahusika watakuwa nao wadogo kiumri au ndo mambo ya 4th house!

    ReplyDelete
  14. mi nina swali, Kwanini Lucy Kibaki hajaenda? and instead kaenda mke wa Odinga? kwani Lucy Kibaki si ndiye First Lady au nimekosea???

    ReplyDelete
  15. Jamani kuuliza si ujinga!Hao ma first ladies wawili kulia mwisho ni wa inji gani??

    ReplyDelete
  16. mwenye sunglasses ni mke wa king mswati wa swaziland

    ReplyDelete
  17. michu unabana sana aaaagh!!

    me nim-mind uyo binti suti ya pinki nusu sketi mtamu sana.

    sasa mboni picha mama salma hayupo?hii picha ya nini km si uchokozi??

    oooh kumbe uyo binti sun-glasses ni mke wa mswati??I KNEW IT mtoto matawi mbichiiii,ni young wives ao!wanajua ku-lobby kwa wazee-presidaa waende izo mitoko

    ni ayo,bana na hii sasa

    ReplyDelete
  18. Duuu watoto wametuliaa!
    Wadau nchi ambayo Rais wake ni mwanamke kama vile Liberia jamaa ana hasara maana hamna kikao wala mkutano wa Waume za Marais.
    Jamaa naye si angejichanganya hapa tu kama hoja ni kuwa mwandani wa mkuu wa nchi.
    Kila jambo na changamoto zake wadau

    ReplyDelete
  19. Wee Anony wa 6:58 macho si makali angalia uzuri,hilo dume la kulia mwisho laweza ndio naninii...!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...