april 15, 2009 M-Net pia wanatarajiwa kuzindua filamu "Great African Series" katika hoteli ya Peacock jijini Dar
Home
Unlabelled
filamu ya mwalimu nyerere kuzinduliwa wiki ijayo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani mithupu kwanini hicho ndo kisiwe kivazi kipya cha globu ya umma :)
ReplyDeleteHaya twasubiri hiyo filamu ya mwalimu Nyerere.
email kwa kiswahili inaitwaje? naomba msaada.
ReplyDeleteMichu ilo shati linanikumbusha kulee kigoma mzee wa antiki nini?
ReplyDeleteMwayegoo Mishupu,
ReplyDeletehuyo janaa anayependekeza kuwa hicho kishati ndiyo kiwe kivazi kipya cha globu ya umma anakudanganya. Kwani hakiko prisentable wala hakipendezi. Utaonekana kama ndio umetua leo kutoka kigoma, tutakuita BRAZA KEI...
Nanihiii hiko kivazi mara nyingi mi ukiona beach au ndo ulikua unaelekea kipepeo nini?
ReplyDeleteMichuzi mimi niko marakani kwa sasa nauliza nijinsi gani na weza kupata hotuba za mwalimu nyerere je radio tanzania wanazo? nina hitaji vitabu vyake vya Binadamu na maendeleo,n.k.
ReplyDelete"His Excellency President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor[3] Idi Amin Dada, VC,[42] DSO, MC, CBE
ReplyDeleteMithupu hiyo shirt yako mie hoi!!!! Bora uvae T-shirt maana unaonekana umezaliwa mchanganyiko wa Mchagga wa Rombo na Mjaluo!
ReplyDeleteMimi naomba nitengee the original copy kabla wanjanja wa kariakoo hawajazibamba.
ReplyDeleteAgata
E-mail kwa kiswahili ni barua pepe.
ReplyDeleteWadau mmetoa filamu mmeihusisha familia ya Nyerere? Familia ya Nyerere itafaidika? Msije mkawa mmesahau hilo.
Naunga mkono jitihada za kuwaenzi waliotuletea heshima kitaifa.
Mkuu I suggest hilo shati ku replace fulanaz...ushauri wa bure
ReplyDeletemdau Houston
DUUUU ---- chuo kikuu cha university of dar es salaam.
ReplyDeleteAsante
Wizi Mtupu.. Amepata wapi haki miliki?
ReplyDeleteMithupu kwanini huwa unamwacha wifi nyumbani unaenda kufanya shoppinng ya nguo peke yako? Hilo shati utafikiri wakulima wanaoswaga N'gombe kule Usukumani!!!
ReplyDeletelakin sihaba kabadilisha maana kafulana kile kinanitiribua
ReplyDeletejamani mh wa tegeta, nini tena? hilo ni shati au bubuu? nani alikudanganya hadi ukalininua au umepewa zawadi? mwambie aliekupa zawadi akome tena akome haswaaaa lasivyo tutamfungulia kesi kisutu apande kalangonga. kwanini amdharilishe mkuu wa wilaya yetu
ReplyDelete