prodyuza wa filamu furaha piniel (kulia) akiumuonesha nanihii dvd yenye filamu ya mwalimu nyerere iitwayo 'Mwalimu: The Legacy of Julius Kambarage Nyerere' ambayo kampuni yake ya savannah film wakishirikiana na maa media watazindua april 14, 2009 saa mbili usiku katika ukumbi wa nkrumah chuo kikuu cha university of dar es salaam.
april 15, 2009 M-Net pia wanatarajiwa kuzindua filamu "Great African Series" katika hoteli ya Peacock jijini Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Jamani mithupu kwanini hicho ndo kisiwe kivazi kipya cha globu ya umma :)

    Haya twasubiri hiyo filamu ya mwalimu Nyerere.

    ReplyDelete
  2. email kwa kiswahili inaitwaje? naomba msaada.

    ReplyDelete
  3. Michu ilo shati linanikumbusha kulee kigoma mzee wa antiki nini?

    ReplyDelete
  4. Mwayegoo Mishupu,

    huyo janaa anayependekeza kuwa hicho kishati ndiyo kiwe kivazi kipya cha globu ya umma anakudanganya. Kwani hakiko prisentable wala hakipendezi. Utaonekana kama ndio umetua leo kutoka kigoma, tutakuita BRAZA KEI...

    ReplyDelete
  5. mdau, OmanApril 06, 2009

    Nanihiii hiko kivazi mara nyingi mi ukiona beach au ndo ulikua unaelekea kipepeo nini?

    ReplyDelete
  6. Michuzi mimi niko marakani kwa sasa nauliza nijinsi gani na weza kupata hotuba za mwalimu nyerere je radio tanzania wanazo? nina hitaji vitabu vyake vya Binadamu na maendeleo,n.k.

    ReplyDelete
  7. "His Excellency President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor[3] Idi Amin Dada, VC,[42] DSO, MC, CBE

    ReplyDelete
  8. Mithupu hiyo shirt yako mie hoi!!!! Bora uvae T-shirt maana unaonekana umezaliwa mchanganyiko wa Mchagga wa Rombo na Mjaluo!

    ReplyDelete
  9. Mimi naomba nitengee the original copy kabla wanjanja wa kariakoo hawajazibamba.
    Agata

    ReplyDelete
  10. E-mail kwa kiswahili ni barua pepe.
    Wadau mmetoa filamu mmeihusisha familia ya Nyerere? Familia ya Nyerere itafaidika? Msije mkawa mmesahau hilo.
    Naunga mkono jitihada za kuwaenzi waliotuletea heshima kitaifa.

    ReplyDelete
  11. Mkuu I suggest hilo shati ku replace fulanaz...ushauri wa bure
    mdau Houston

    ReplyDelete
  12. DUUUU ---- chuo kikuu cha university of dar es salaam.

    Asante

    ReplyDelete
  13. Wizi Mtupu.. Amepata wapi haki miliki?

    ReplyDelete
  14. Mithupu kwanini huwa unamwacha wifi nyumbani unaenda kufanya shoppinng ya nguo peke yako? Hilo shati utafikiri wakulima wanaoswaga N'gombe kule Usukumani!!!

    ReplyDelete
  15. lakin sihaba kabadilisha maana kafulana kile kinanitiribua

    ReplyDelete
  16. jamani mh wa tegeta, nini tena? hilo ni shati au bubuu? nani alikudanganya hadi ukalininua au umepewa zawadi? mwambie aliekupa zawadi akome tena akome haswaaaa lasivyo tutamfungulia kesi kisutu apande kalangonga. kwanini amdharilishe mkuu wa wilaya yetu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...