Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mwambie rafiki yako majjid asipende sana kuuza sura yake ukurasa wa mbele wa gazeti! tunajua kuwa ni lake na tunajua pia kuwa tutamsoma ndani! Hiyo nafasi awape wengine! Yeye ni Mwenyekiti, Picha yake ukurasa wa mbele wa gazeti kwa matoleo matatu mfululizo ya nini???

    ReplyDelete
  2. Halafu hili gazeti vipi?Ungetarajia mtu kama Mjengwa ambaye anafahamu umuhimu wa mtandao kinyumenyume angefanya jitihada za ku-update machapisho ya hili gazeti jipya lake mtandaoni lakini patupu.Ni mapicha tu kama kwenye blogu yake!

    Mbona mnatupuuza wasomaje tunaotegemea mtandao kujua kinachoendelea huko home?

    ReplyDelete
  3. hili gazeti vipi? ni kiswahili gani hili? kichwa cha habari hakieleweki mara moja? hivi magazeti binafsi hayajali kuimarisha lugha sanifu?

    ReplyDelete
  4. Jamani - si bora tuwapongeze hawa waliotuletea maarifa mapya tena mazuri, badala ya kuongea majungu tu?

    Kwanza Jamii ina nafasi yake katika jamii ya kitanzania. Kwa upande wangu nampa Maggid Big-Up. Endelea hivi hivi Mwenyekiti...

    ReplyDelete
  5. LImejizolea umaarufu kwa kufanya nini? mbona hujatueleza mkuu wa nanilii ya nanilii?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...