Home
Unlabelled
kwanza jamii lazidi kujizolea umaarufu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mwambie rafiki yako majjid asipende sana kuuza sura yake ukurasa wa mbele wa gazeti! tunajua kuwa ni lake na tunajua pia kuwa tutamsoma ndani! Hiyo nafasi awape wengine! Yeye ni Mwenyekiti, Picha yake ukurasa wa mbele wa gazeti kwa matoleo matatu mfululizo ya nini???
ReplyDeleteHalafu hili gazeti vipi?Ungetarajia mtu kama Mjengwa ambaye anafahamu umuhimu wa mtandao kinyumenyume angefanya jitihada za ku-update machapisho ya hili gazeti jipya lake mtandaoni lakini patupu.Ni mapicha tu kama kwenye blogu yake!
ReplyDeleteMbona mnatupuuza wasomaje tunaotegemea mtandao kujua kinachoendelea huko home?
hili gazeti vipi? ni kiswahili gani hili? kichwa cha habari hakieleweki mara moja? hivi magazeti binafsi hayajali kuimarisha lugha sanifu?
ReplyDeleteJamani - si bora tuwapongeze hawa waliotuletea maarifa mapya tena mazuri, badala ya kuongea majungu tu?
ReplyDeleteKwanza Jamii ina nafasi yake katika jamii ya kitanzania. Kwa upande wangu nampa Maggid Big-Up. Endelea hivi hivi Mwenyekiti...
LImejizolea umaarufu kwa kufanya nini? mbona hujatueleza mkuu wa nanilii ya nanilii?
ReplyDelete