First Lady Mama Salma Kikwete holds one year old Farai Kasago whose Tanzanian parents live and work in Los Angeles, when she met and talked with Tanzanians during an informal gathering in Los Angeles last night. Mama Kikwete was in the US to attend a two day summit of African First Ladies on Maternal health.
First Lady Mama Salma Kikwete presents a gift to The President of the White Ribbon Alliance For Safe Motherhood Theresa Shaver(right)at the end of The African First Ladies Health Summit, held in Los Angeles, California.in the centre with spects is Betsy MCallon, Senior program Addvisor.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. mr,michuzi heshima yako
    MIMI NINASWALI MOJA NIMEKUWA NIKIONA FIRST LADY WENGI WAKIITWA TU FIRST LADY JE WAO HUWA HAWANA VYEO VYAO VINGINE AMBAVYO WANGEEITIWA?
    KWA MFANO FIRST LADY AKIWA WAZIRI AU MBUGE ANGEPENDA AJULIKANE KAMA WAZILI AU MBUGE AU FIRTA LADY??

    JE KAMA IKATOKEA MWANAMKE AKAWA NDIYE RAIS MME WAKE ATAITWAJE?
    KWA NINI NAULIZA SWALI HILI KWA MFANO JOCOB ZUMA ANAWAKE WENGI TENA WOTE NI WAKE WA MILA NA SERIKALINIWANATAMBULIKA JE KATI YAO NANI ATAKUWA FIRST LADY KATI YAO NAOMBENI MNIELEWESHE ASANTENI SANA KUNIFAFANULIA KWA MLIONA UPEO ZAIDI

    ReplyDelete
  2. mr,michuzi heshima yako

  3. mr,michuzi heshima yako

  4. tunatumai zawadi hii itachochea msaada wa uzazi salama nchini mwetu.japo mambo mengine hayaitaji uzazi kwa mfano lugha chafu ya manesi, ukiukaji wa maadili ya uzalishaji kama vile kumchana mama uke kwa mkasi mcharazo badala ya upande(ningechora ningeeleweka) ukiritimba na ucheleweshwaji wa mama kujifungua vyote hivi viko mikononi mwetu kabisa wala sio dola wala euro,lakini hatutumii busara wakati wa kusaidia kuleta uhai. Halafu laiti mgeona manesi walivyowaoga kuzaa ndio mngeshangaa.

    ReplyDelete
  5. wenzetu ukibeba mimba una hakika ya kuzaa na ndio maana wanafanya baby shower kuandaa zawadi za mtoto, sisi hata nepi huthubutu kununua eti mtoto ni ridhiki yaani uwezekano wa kutozaa salama ni mkubwa kuliko, hii inauma sana

    ReplyDelete
  6. nampenda first lady anajuwa kupangilia mavazi just like mzee jk
    nakila vazi analotinga linakubali hongera sana

    ReplyDelete
  7. Anoy 3:29pm Kama una point nyamaza,wewe una cha mahana unasifia matambala,Kiongozi anasifiwa mahamuzi.

    ReplyDelete
  8. Namwona na huyo mama mwenye kitenge na miwani nyuma pembeni ya Salma. Ni mmojawapo ya walinzi hatari japokuwa umri umesonga. Ni mmojawapo wa ma-bodyguards namba moja wa Salma Kikwete..usidanganyike na hivyo vitenge...naona kamshtukia mpiga picha...!! Mdau High Desert USA.

    ReplyDelete
  9. Naona Kijana wetu Farai Kasago anatuwakilisha mjini L.A safii sana.
    Anko Baga:)

    ReplyDelete
  10. MDAU HAPOJUU ULIYESEMA MANESI WALIVYO NA DHARAU KWELI MAANA MKEWANGU AKITOKAGA HUKO ANAVYOSIMULIA MPAKA UNAMWONEA HURUMA HATAKUOGOPA KWENDA KLINIKI WANAVYOWATOLEA KASHIFA UTAFIKIRI WAO SIO WANAWAKE WENZAO HALAFU KAMA ULIVYOSEMA NIWAOGA KUPINDUKIA WAKATI WAO WANAPOTAKA KUJIFUNGUA.

    ReplyDelete
  11. Kweli kabisa Anon wa Apr. 23, 3:18.
    mama Salmuu kazana pia kuwakoromea hao manesi wetu bado wananyanyasa wanawake wenzao wakati wa kijifungua, fikiri mwanamama yuko kwenye uchungu wa kujifungu na anaomba msaada hakuna anaemsikiliza au kumsaidia, mpaka mama anajufungua pekeyake na nguvu za kusukuma mtoto akiwa pekeyake pale kitandani hakuna mtu wa kumpokea mtoto anaruka hadi anaanguka chini na kufa aaaah! inasikitisha sana, wa ima kitendo kile kiliumiza moyo wangu sana kilipotokea hospotali ya seketure mwanza, pia kitendo hicho kiliamsha hisia za kinababa na majirani wa muhusika waume na wake mpaka wakaja kundi hospitali na kutaka maelezo ya kina, Mama ongeza kelele tafadhali, na adhabu kali zitolewe kwa manesi wakatili na wenye midomo michafu.

    ReplyDelete
  12. TOO MUCH JEWELRY!!

    ReplyDelete
  13. Huyo mpambe basi hatari, mpaka nguo zinaporomoka..au style?

    ReplyDelete
  14. Yaani watoa mada wa humu wengi wao akili zao ni fupi kidooogo mtu unataka kulinganisha US na Tz wenzetu wametuacha mbali sana na huo ndio ukweli hauwezi kubadilika!!! Hao manesi mnaowalalamikia hawana motivation wenzenu hao ndio maana wakali huwezi linganisha na nesi wa US analipwa vizuri lazima aipende kazi yake....
    Na wewe unayesema too much jewerly mbona hizo bling bling ni kidogo tu acha chuki bwana mama wa kwanza kapendeza mpe sifa zake....wivu haujengi wajamni!!! LOL

    ReplyDelete
  15. Kuhudumia mama kwa ukatili haihusiani na pesa ni roho ya mtu tu. Ukiwa nesi fikiria alielala pale kitandani anaweza kuwa ndugu yako. Mie nina experience ya Unesi wa Tanzania na Marekani. Nursing ni wito.

    ReplyDelete
  16. ni kweli kabisa 25/04/09 9:03. unesi na ualimu ni wito kama upadre na usheikh, kama unataka kazi za kulipa kabebe box. uzuri hizi kazi hazilazimishwi ila watu wanazirukia tu matokeo yake ndio hayo. kutokuwa na mshahara mzuri sio tiketi ya kutesa mtu anayetoa roho, hivi unajua maana ya ile dk ya kukitoa kiumbe ilivyo nzito? manesi waahce matusi, basi nukta.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...