Home
Unlabelled
Mama Kikwete meets The White Ribbon Alliance President
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mr,michuzi heshima yako
ReplyDeleteMIMI NINASWALI MOJA NIMEKUWA NIKIONA FIRST LADY WENGI WAKIITWA TU FIRST LADY JE WAO HUWA HAWANA VYEO VYAO VINGINE AMBAVYO WANGEEITIWA?
KWA MFANO FIRST LADY AKIWA WAZIRI AU MBUGE ANGEPENDA AJULIKANE KAMA WAZILI AU MBUGE AU FIRTA LADY??
JE KAMA IKATOKEA MWANAMKE AKAWA NDIYE RAIS MME WAKE ATAITWAJE?
KWA NINI NAULIZA SWALI HILI KWA MFANO JOCOB ZUMA ANAWAKE WENGI TENA WOTE NI WAKE WA MILA NA SERIKALINIWANATAMBULIKA JE KATI YAO NANI ATAKUWA FIRST LADY KATI YAO NAOMBENI MNIELEWESHE ASANTENI SANA KUNIFAFANULIA KWA MLIONA UPEO ZAIDI

tunatumai zawadi hii itachochea msaada wa uzazi salama nchini mwetu.japo mambo mengine hayaitaji uzazi kwa mfano lugha chafu ya manesi, ukiukaji wa maadili ya uzalishaji kama vile kumchana mama uke kwa mkasi mcharazo badala ya upande(ningechora ningeeleweka) ukiritimba na ucheleweshwaji wa mama kujifungua vyote hivi viko mikononi mwetu kabisa wala sio dola wala euro,lakini hatutumii busara wakati wa kusaidia kuleta uhai. Halafu laiti mgeona manesi walivyowaoga kuzaa ndio mngeshangaa.
ReplyDeletewenzetu ukibeba mimba una hakika ya kuzaa na ndio maana wanafanya baby shower kuandaa zawadi za mtoto, sisi hata nepi huthubutu kununua eti mtoto ni ridhiki yaani uwezekano wa kutozaa salama ni mkubwa kuliko, hii inauma sana
ReplyDeletenampenda first lady anajuwa kupangilia mavazi just like mzee jk
ReplyDeletenakila vazi analotinga linakubali hongera sana
Anoy 3:29pm Kama una point nyamaza,wewe una cha mahana unasifia matambala,Kiongozi anasifiwa mahamuzi.
ReplyDeleteNamwona na huyo mama mwenye kitenge na miwani nyuma pembeni ya Salma. Ni mmojawapo ya walinzi hatari japokuwa umri umesonga. Ni mmojawapo wa ma-bodyguards namba moja wa Salma Kikwete..usidanganyike na hivyo vitenge...naona kamshtukia mpiga picha...!! Mdau High Desert USA.
ReplyDeleteNaona Kijana wetu Farai Kasago anatuwakilisha mjini L.A safii sana.
ReplyDeleteAnko Baga:)
MDAU HAPOJUU ULIYESEMA MANESI WALIVYO NA DHARAU KWELI MAANA MKEWANGU AKITOKAGA HUKO ANAVYOSIMULIA MPAKA UNAMWONEA HURUMA HATAKUOGOPA KWENDA KLINIKI WANAVYOWATOLEA KASHIFA UTAFIKIRI WAO SIO WANAWAKE WENZAO HALAFU KAMA ULIVYOSEMA NIWAOGA KUPINDUKIA WAKATI WAO WANAPOTAKA KUJIFUNGUA.
ReplyDeleteKweli kabisa Anon wa Apr. 23, 3:18.
ReplyDeletemama Salmuu kazana pia kuwakoromea hao manesi wetu bado wananyanyasa wanawake wenzao wakati wa kijifungua, fikiri mwanamama yuko kwenye uchungu wa kujifungu na anaomba msaada hakuna anaemsikiliza au kumsaidia, mpaka mama anajufungua pekeyake na nguvu za kusukuma mtoto akiwa pekeyake pale kitandani hakuna mtu wa kumpokea mtoto anaruka hadi anaanguka chini na kufa aaaah! inasikitisha sana, wa ima kitendo kile kiliumiza moyo wangu sana kilipotokea hospotali ya seketure mwanza, pia kitendo hicho kiliamsha hisia za kinababa na majirani wa muhusika waume na wake mpaka wakaja kundi hospitali na kutaka maelezo ya kina, Mama ongeza kelele tafadhali, na adhabu kali zitolewe kwa manesi wakatili na wenye midomo michafu.
TOO MUCH JEWELRY!!
ReplyDeleteHuyo mpambe basi hatari, mpaka nguo zinaporomoka..au style?
ReplyDeleteYaani watoa mada wa humu wengi wao akili zao ni fupi kidooogo mtu unataka kulinganisha US na Tz wenzetu wametuacha mbali sana na huo ndio ukweli hauwezi kubadilika!!! Hao manesi mnaowalalamikia hawana motivation wenzenu hao ndio maana wakali huwezi linganisha na nesi wa US analipwa vizuri lazima aipende kazi yake....
ReplyDeleteNa wewe unayesema too much jewerly mbona hizo bling bling ni kidogo tu acha chuki bwana mama wa kwanza kapendeza mpe sifa zake....wivu haujengi wajamni!!! LOL
Kuhudumia mama kwa ukatili haihusiani na pesa ni roho ya mtu tu. Ukiwa nesi fikiria alielala pale kitandani anaweza kuwa ndugu yako. Mie nina experience ya Unesi wa Tanzania na Marekani. Nursing ni wito.
ReplyDeleteni kweli kabisa 25/04/09 9:03. unesi na ualimu ni wito kama upadre na usheikh, kama unataka kazi za kulipa kabebe box. uzuri hizi kazi hazilazimishwi ila watu wanazirukia tu matokeo yake ndio hayo. kutokuwa na mshahara mzuri sio tiketi ya kutesa mtu anayetoa roho, hivi unajua maana ya ile dk ya kukitoa kiumbe ilivyo nzito? manesi waahce matusi, basi nukta.
ReplyDelete