Home
Unlabelled
mama shadya karume shule ya awali tunduni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Majina ya zenji ni burudani tosha yani.
ReplyDeleteTunduni! tena Uzini! mmh! yangu masikio na macho!
ReplyDeleteMimi nadhani umefika wakati sasa kwa viongozi wetu kuwa realistic, kwani wao ndiyo vioo vya jamii.
ReplyDeleteTungejaribu kuonyesha mifano ambayo ni halisi.
Mfano kiongozi anapanda mti, tunafahamu kabisa kwamba ukienda shamba hutandiki mkeka au kitenge chini ili usichafuke. Mzingira ya shamba, ili uweze kufanya kazi vema, lazima uchafuke. Viongozi wa ngazi za juu wangekuwa mifano ya kweli ya hali halisi ya mazingira ya mtanzania.
Tungefurahi siku moja kumuona JK akitupilia mbali jamvi alilotayarishiwa kwa ajili ya kupanda miti, kwani mazingira halisi ya kupanda miti hayahusiani na kutandika jamvi, kitenge au kanga ardhini.
Inapendeza zaidi kumwona kiongozi akifanya kazi, au kutoa mfano katika mazingira halisi.
kapanda mnazi tunduni uzini wilaya ya kati
ReplyDeletehicho kiswahili mi hoi,eti akiondosha pazia,du rahisi kweli kufeli mtihani.
ReplyDeletemajina ya zenji bwana kama wazenji wenyewe
ReplyDeletecome on wadanganyika hapo sio tunduni ni tunduuni (inatamkwa tundu-uni)
ReplyDeletesawa ni Tuunduni,je mchambawima na Makunduchi ni vipi tupe elimu...
ReplyDeleteMajina ya z.bar kwa kweli kila siku napata jipya na kali zaidi! tunduuni alafu uzini,
ReplyDeletekuhusu kuweka mikeka sio poa, hata jana Obama alipopanda mti kuadhimisha earth day hakuwa na mikeka (ingawa alipiga gloves )
teh teh
Kaweka jiwe Tunduni, akapanda mnazi Tunduni, Uzini wilaya ya kati.
ReplyDeleteSie wa Mchambawima hatuna lakusema. Tutamsubiri akija Tunduni
ReplyDeleteUzini??Tunduni??
ReplyDeletehahahahaaaaa sina mbavu dah!!aya ndo majina ya kiswahili aswaaa safi sana wazenji-Tanzania
kisiwandui,ubago,bwajuu,nk nk
Ni kwa vile nyani hajioni tu.
ReplyDeleteHebu angalia hii: Zenji Makunduchi, Bongo Kunduchi. Zenji Mchambawima, Bongo Matombo. Zenji Jang'ombe, Bongo Chang'ombe. Hapo kuna kuchekana kweli?
Bwahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteChang'ombe kinini?
Ukishakua awali Tunduni!!!!
ReplyDeletetumekusikieni wabongo, mwaka 2010 wazenji tutabadilisha majina ya mitaa yetu na tutaita, newyork badala ya tunduuni, na capetown bdl ya uzini, yorkshire bdl ya makunduchi, eastham bdl y mchambawima, lkn sharti letu 1, msije mkatuambia hatuutaki uswahili
ReplyDeletekaka michuzi naomba kuuliza mama shadia amepanda mnazi au ameotesha mnazi?
ReplyDeletehapa zenji hapana majina ya kuchekesha kama pemba huko utakuta :chaka la kati,mpika tango,maziwa ya ngo'mbe,jadida,utaani,mchanga mdogo n.k.
ReplyDelete