Heshima yako mkuu wa nanii, tunashukuru sana kaka kwa kutupa uhuru wakutuma maoni yetu kwenye blog ya jamii, na kweli imekuwa blog ya jamii kutokana na kuweka mambo yanayotokea katika jamii.
tatizo langu lipokwa kituo kimoja cha luninga cha hapa nchini, hicho kituo kilikuwa nasifa ya kutuonyesha mpira na kilikuwa kituo namba moja nchini, tokeamiaka hile na wewe mkuu ulikuwa mmoja wa watangazaji kwenye kituohicho..
nakumbuka kwenye mashindano ya uero 96 yaliyofanyika uingerezawewe ulikuwa mmoja wa watangaziji na wewe kama sikosei ndio uliyemletamchambuzi wa mpira Dr Licky Abdallah.
watu waliipenda sana na hasasiku za mpira lakini sasa hivi wamekuwa hovyo hasa baada ya kufunguachannel nyingine sasa hivi wanadai wanaonyesha mpira bila zengwelakini wanazengwe kupita maelezo wanachelewa kutuonyesha mpira.
pili wanatuonyesha mechi za team za uingereza tu, najua uingereza ndio ligiyenye wapenzi wengi nchini lakini wangetuonyesha mechi nzuri ya sikuhiyo. nilikuwa naomba kama wameshindwa kutuonyesha mpira live bila zengwe basi watuambie. wanatuboa kweli.
Mdau Omary
Kaka tatizo lao kubwa channel 10 ni kuwa wanatudanganya watu wazima wameweka vipindi vya dini ndio priority kwao. Mtu unasubilia mpira tangu 9.45pm wanaanza kurusha almost half time wanasahau siku hizi kila mtu anweza kupata live results na akajua wanatuongopea. Kuweni wastaarabu.
ReplyDeletevumbi nitamu sana hasa ukichanganya na dawa ya mbu mambo mswano au hamuoni watu bongo walivyonenepa??
ReplyDeletelabda mseme mafuriko hayo ndiyo nayaheshimu lakini ujanja ni kujenga vilimani tu kama waruguru,wasambaa,wachaga wa mitaa furani,hapo utakuwa umeyakomesha mafuriko
DUNIANI KUNA MAMBO SAWASAWA NA BAHARI KUNA PAPA NA NYANGUMI TENA WALE WA HATARI----------------------------------------------------------------------------------EMVI MAPENZI MELI YA WAPENDANAO NAHODHA MIMI NA MICHUZI--------------------------------------------HAMTUWEZI
ReplyDeletemichuzi na wadaau sio mahakimu kesi hii ipeleke kisutu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMdau ukiyepost hii mada, napenda kukufahamisha kuwa popote pale duniani ukitaka kitu kizuri ni lazima ukigharamie, kinyume cha hapo endelea kuangalia vipindi ambavyo waendesha TV wanakupangia.
ReplyDeleteUkitaka kuangalia mechi live nk, itabidi uingie katika mpango wa kulipia kupitia DSTV-MuultiChoice.
Nadhani kwa maelezo haya machache nimekusaidia sasa unaweza kufanya research kutoka upande wako
SASA UNASHITAKI AU VIPI?KAMA UNA SHIDA PUNGUZA JAZBA KUWA MPOLE,SIO KUPAYUKA TU,KAMA UNAONA UNAKUZINGUA NENDA KANUNUE CARD KISHA UCHAGUE MECHI UNAYOTAKA.
ReplyDeleteTUWEKEE MAMBO YA MAN YUUUUUUUU MICHUZI
MAN YUUUUUUUU OYEEEEEEEE
mkuu unachanganya halali na haram tuzo pointi poa ndovu laaa
ReplyDeleteKwani wamekulazimisha kuangalia? wewe unataka vya bure hii TV ni ya baba yako? hicho kipindi wanakuonyesha free bado unalalamika, nenda kalipie uone kama watakuzingua, hivyo vituo vya TV vinaendesha kwa fedha na sio maji or air
ReplyDeleteMechi za bure online.Justin.tv/bigitivo.Unaweza ku-search kwa kutumia timu zinazocheza siku hiyo katika search window juu kulia.
ReplyDeleteBTW-Tumewapiga ubaya Villareal.Jumamosi zamu ya Chelsea kupata dozi halafu Liverpool, then Man U ktk (ligi,FA cup,Champ league) mwaka huu tunatesa tunatesa. Eli kilema tunatesa.Awilo longomba tunatesa,Jojo wear tunatesa.
Yaani watu wanajua kuchemsha kweli sasa unalaumu nini humu, na je Michuzi atasaidia nini? wewe unaangalia mpira bure kisha unataka uwapangie waonyeshe nini. Je ujuhi wao wapo kibiashara pia na wanajali faida ili waweze kukurushia angalau huo mpira unaouona nusu.
ReplyDeleteFuata ushauri wa wadau kama uridhiki na uonyeshaji wao nenda kanunue card za DSTV
TATIZO LAKO MDAU UNAPENDA BUREEEEE
ReplyDeleteCHANNEL 10 NAO WANANUNUA HAKI YA KURUSHA MICHEZO HIVYO INABIDI WAWEKE MATANGAZO KIBAO ILI KUPATA FAIDA.
BINAFSI NAWAPA PONGEZI NYINGI WAMETUSAIDIA KUONA UEF BILA ZENGWE. NA KWA SASA NAJIDAI NA DISH
SASA WEWE NA UBAHIRI WAKO UTAKOMA KURINGA
CHANEL 10 HOYEEEEEEEEEEEE!
MARARAMIKO YAKO HAYANA MASHIKO.
BURE GHALI! Huu msemo una maana kubwa sana kwa mwenye kutafakari. Ukitaka kuepuka kero yote hiyo mzee jiunge na DSTV sio kama utaona gemu moja, we wabofya tu na kuchagua uangalie ipi; Serie A, La Liga, Portuguese and Brazil Leagues, Premier league ndio kabisa unaweza kuangalia hata game 4 kwa wakati mmoja kama TV yako ina PnP na still there's SO MUCH MORE to choose; music, movies, documentaries etc!!. Raha yote hiyo kwa $74 tu kwa mwezi! ni nyingi kwa usiye nazo au usiyejua starehe ya TV na soka!
ReplyDeleteSuala hapa sio kutaka vya bure-tatizo ni kuwa kwa nini wajifagilie na wadanganye umma ambao hawajui ukweli kuwa mechi ni live wakati ni marudio.Huko ni kujidhalilisha wao wenyewe.Kama hawawezi waache watu watafute mbinu nyingine ila sio kudanganya.
ReplyDelete